Top Songs By Khaligraph Jones
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Khaligraph Jones
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Brian Omollo
Songwriter
Major Nameye Khadija
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Brian Omollo
Producer
TML
Producer
Lyrics
[Chorus]
Wapi kamnyweso?
Wapi kamnyweso?
Wapi kamnyweso?
Wapi kamnyweso?
[Verse 1]
Hii ngoma nimefanyia maboy na madiva (Woo)
Upende usipende huwezi avoid hawa manigga (Jones)
Ukinipatia mboka siku enjoy namaliza (Iyee)
Manze ni Omollo jo na mtoi wa Hadijah (Aah)
[Verse 2]
Na mi no need to prove no point for the media (No)
Go ahead and light a joint for this feature (Shhh)
Rada sikutafta coins ni mamita (Iyee)
Na peng ting ka si Wambui ni Anita (Raa)
[Verse 3]
Kanairo wamenibandika jina Sonko
Kogalo massive, hii ligi mi ndio nacontrol
Odi dance sitambui sijui azonto
Na tumbler itashikwa aje bila Okonkwo?
[Verse 4]
Na kila nikichunisha debe wanaturn face (Woo)
Utadhani wameona manjege au masanse (What?)
Niko zabe juu ya veve na machampez
Haters nawapea headache vile narun place
[Verse 5]
Nasema mi dakitari ogopa hii kambi my crew
Kazi yetu ni kushinda nikuparty 'cause this my life and my rules
Tumeshika mtaaani kwa ghetto, majengo hadi Soweto
Kanashika leo mpaka kesho, Mr Tumbler wapi kamnyweso?
Kamnyweso, kamnyweso
[Chorus]
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
[Verse 6]
You didn't know Okonkwo can spit another lingo
And I make it look simple
I'm a G in this shit, just living it up
I got many flows, let me switch it up
[Verse 7]
Umeshtuka mi sikai eh?
Na kizungu aki walai, ah
Ni mwisho wa mwezi najidai
Leo nakunywa chupa sikunywi ndivai
[Verse 8]
Hio sherehe tunapiga place ya nguvu (Uh)
Mahali pombe inaserviwa na tunjugu (Yo)
Aki ya nani leo nikishika mutu (Ayy)
My chick, ataenda kuku
[Verse 9]
Lamba chupa ukilamba mtu (Ah)
Tupa lugha kamata mutu (Yo)
Chuma nzuri hainanga kutu (Ah)
Ayo Okonkwo, ebu roga watu (Ah)
[Verse 10]
I keep it one hundred
Me and OG we blowing this money
Yeah, you know we run this streets
You know we killin this shit, level up
[Verse 11]
Nasema mi daktari ogopa hii kambi my crew
Kazi yetu ni kushinda nikuparty 'cause this my life and my rules
Tumeshika mtaaani kwa ghetto
Majengo hadi Soweto
Kanashika leo mpaka kesho
Mr Tumbler wapi kamnyweso?
Kamnyweso, kamnyweso
[Chorus]
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
[Chorus]
Nasema leo, form yetu kamnyweso (Eeyy)
Na kama zimekushika basi weka yako juu (Weka yako juu)
Nasema leo form yetu kamnyweso (Eeyy)
Ka zimekubamba basi inua yako juu (Inua yako juu)
Written by: Brian Omollo, Major Nameye Khadija