Top Songs By OCHUNGULO FAMILY
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
OCHUNGULO FAMILY
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nelly The Goon
Composer
D.More
Composer
Benzema David
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Alvin Brown Beats
Producer
Lyrics
KHARTOUM BY OCHUNGULO FAMILY
Mate mbaya tema 'Thup'
Mate mbaya Tema 'Thup 'Thup' 'Thup'
'Thup' 'Thup' 'Thup'
Ambia hater alambe shoe
Ambia hater alambe shoe shoe shoe
Shoe shoe shoe
Dar-es-salaam na inafeel ka ni Khartoum
Hio ni Dar-es-salam na inafeel ka ni Khartoum
Real life na nacheki ka ni cartoon
Hio ni real life na naicheki ka ni cartoon
No face No case namjua na necklace
Na si mimi ntaitwa witness
Brikicho iliongeza fitness
Ukiona mwili shadow ya waitress
Unaniconfuse na Pablo Escobar
Unaniaccuse na points za pornstar
Ebu ni excuse ka mimi ni Veteran
Alumnae ndani ya school van
Nakunywa picker na tukipika na
Leo niko maziwa na si Ilara
Niko na mlami amebeba ka embasava
Tayarisha mapaja, mkwacho wacha
Mate mbaya tema 'Thup'
Mate mbaya Tema 'Thup 'Thup' 'Thup'
'Thup' 'Thup' 'Thup'
Ambia hater alambe shoe
Ambia hater alambe shoe shoe shoe
Shoe shoe shoe
Dar-es-salaam na inafeel ka ni Khartoum
Hio ni Dar-es-salam na inafeel ka ni Khartoum
Real life na nacheki ka ni cartoon
Vese 2
Hio ni real life na naicheki ka ni cartoon
Lunch Teriyaki
Staki reggae leo nadai mariachi
Hata bado nikicheat Haniachi
I just need a girl who can make me happy
Peer pressure
Peer pressure inaleta Beer pressure
Ni wa huruma but leo anatesa
Huwezi sema bye kwa Bayesa
Nilidhani ye ni Gazla Bro
Nilimkula juu ya Tiree na pineapple punch
Nilidhani kwao ni hapa tu
Nilimwacha juu fare imepita punch
Mate mbaya tema 'Thup'
Mate mbaya Tema 'Thup 'Thup' 'Thup'
'Thup' 'Thup' 'Thup'
Ambia hater alambe shoe
Ambia hater alambe shoe shoe shoe
Shoe shoe shoe
Dar-es-salaam na inafeel ka ni Khartoum
Hio ni Dar-es-salam na inafeel ka ni Khartoum
Real life na nacheki ka ni cartoon
Hio ni real life na naicheki ka ni cartoon
Na siogi after mechi
Ndio nitembee nikinuka Utam
Na sioshi hata Bedsheet
Nikilala nangorota utam
Uko in spain ama s iko silent
Hamnitaki nijilete kama parent
Am the ex niko Beach na ma current
Ako rongai na anasema lower karen
I'm mister Bombastic Tell em fantastic
Msupa aliniwaste juu akona Turi plastic
Utakula L juu wanapunya elastic
He is a Nigerian so Oga smic
Ananipiga Head kwangu ikawa Head Quarter
Klabu ni wababaz wameleta Grand Daughters
Mwenye huendaga mzinga ndio anakuanga amesota
Piga line after mechi anangohota
Mate mbaya tema 'Thup'
Mate mbaya Tema 'Thup 'Thup' 'Thup'
'Thup' 'Thup' 'Thup'
Ambia hater alambe shoe
Ambia hater alambe shoe shoe shoe
Shoe shoe shoe
Dar-es-salaam na inafeel ka ni Khartoum
Hio ni Dar-es-salam na inafeel ka ni Khartoum
Real life na nacheki ka ni cartoon
Hio ni real life na naicheki ka ni cartoon
Written by: Benzema David, D.More, Nelly The Goon