Credits
PERFORMING ARTISTS
Mbuzi Gang
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joseph Nyamwea
Songwriter
Mike Makori
Songwriter
Moses Otieno
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Peter Ochieng Otieno
Producer
Lyrics
Haka ka-dame kazuri joh kako vero, kisham-sham kinyam kitam-tam
Shuka na ngeus siezi mind ata kapedo, dame ni kafupi kanapenda magendo
Ngoma ni kali uliza Mmkurutu gang gang, imebaki shangwe, kelele na nderemo (Wueh!)
Shamra-shamra kelele na nderemo (Ayayaya!), shamra-shamra kelele na nderemo (Wueh!)
Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham, kisham-sham kelele na nderemo (Oo-wee!)
Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham, kisham-sham kelele na nderemo (Ayayaya!)
Sherehe ni major tumekuja adi na tumbler (Oo-wee!), na tulibeba Mejja yule alifanya bablas
Mbuzi ndio rende tunaroga adi wakamba, ole kitanda, ole-ole kandanda (Waah!)
Tingisha kichwa na kisha kamwage dandruff, Kingfisher na picha ashaanza piga lap (Waah!)
Snap, snap sa nadai kujip, yap, yap, tei then tupige nap (Ayayaya!)
Haka ka-dame kazuri joh kako vero, kisham-sham kinyam kitam-tam
Shuka na ngeus siezi mind ata kapedo, dame ni kafupi kanapenda magendo
Ngoma ni kali uliza Makurutu gang-gang, imebaki shangwe, kelele na nderemo (Wueh!)
Shamra-shamra kelele na nderemo (Ayayaya!), shamra-shamra kelele na nderemo (Wueh!)
Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham, kisham-sham kelele na nderemo (Oo-wee!)
Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham, kisham-sham kelele na nderemo (Ayayaya!)
Pesa sabuni ya roho inafanya mi nik, bash nawekea minyoo nakata maji Kinoo
Mapenzi mi huwanga dingo nyoka irudi kwa shimo, luku ni fly ding'o inapiga Simple Stivo na (Ayayaya!)
Mi huwa sijali, sijali ka una chali, naeza pita na wewe bila ata tafadhali
Daily niko majani mbuzi yukuwa angani, mi hunyonga tai tu za monkey apa sidhani (Wah!)
Haka ka-dame kazuri joh kako vero, kisham-sham kinyam kitam-tam
Shuka na ngeus siezi mind ata kapedo, dame ni kafupi kanapenda magendo
Ngoma ni kali uliza makurutu gang gang, imebaki shangwe, kelele na nderemo (Wueh!)
Shamra-shamra kelele na nderemo (Ayayaya!), shamra-shamra kelele na nderemo (Wueh!)
Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham, kisham-sham kelele na nderemo (Oo-wee!)
Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham, kisham-sham kelele na nderemo (Ayayaya!)
Nijaje msupa? (Niaje?) Niko na talent (Kaa gani?), naeza fungua bra na mkono moja
Unataka kuona? Siwezi mind
Okay, keti chini, uh, geuka hivi, uh, wacha ncheze kaa mimi na ulimi
Usitoe ntakuchapa na hiyo mini
Chali yako kwa simu kelele (Wah!), chali yako ni stress ye ni msenge
Mpige block tupige sherehe (Haha), usilie mamii skiza magenge
Ntakutoa stress na ni kupunguzie nyege
Haka ka-dame kazuri joh kako vero (Haha), kisham-sham kinyam kitam-tam
Shuka na ngeus siezi mind ata kapedo, dame ni kafupi kanapenda magendo
Ngoma ni kali uliza makurutu gang gang, imebaki shangwe, kelele na nderemo (Wueh!)
Shamra-shamra kelele na nderemo (Ayayaya!), shamra-shamra kelele na nderemo (Wueh!)
Written by: Joseph Nyamwea, Mike Makori, Moses Otieno