Music Video

BREEDER LW X MEJJA - "GIN AMA WHISKEY" (Official Music Video)
Watch BREEDER LW X MEJJA - "GIN AMA WHISKEY" (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Breeder LW
Breeder LW
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Paul Baraka Otieno
Paul Baraka Otieno
Songwriter

Lyrics

[Chorus]
Utakunya Gin ama Whiskey? (Gin)
Ladies say hey ukina tipsy, (Hey)
Na unataka chupa moja ama mbili (Mbili)
Ka we ni gazla chaser ya nini (Dry no chaser)
Utakunya Gin ama Whiskey? (Gin)
Ladies say hey ukina tipsy, (Hey)
Na unataka chupa moja ama mbili (Mbili)
Ka we ni gazla chaser ya nini (Dry no chaser)
Utakunya Gin ama Whiskey? (Whiskey)
Gin ama Whiskey? (Gin)
Utakunya Gin ama Whiskey? (Whiskey)
Gin ama Whiskey? (Gin)
[Verse 1]
Yoh aah
Niko maji ka Spongbob na stagger
Tabia zilifanya mtoto wa chama akiwa NACADA
Beer moja, andas, njugu karanga
Bado uko sober tumekunywa tangu jana
Kitendawili? (Tega)
Kitendawili? (Tega)
Glass yangu inakinywaji bila chaser
Munakunywa nini? Gin ndo inaweza
Alfu waiter weka Vodoski kwa meza
Na sina cash naweza lipa na mpesa?
Ngaleta fine Whiskey, ngaleta chaser
Ngasema napenda batoto ngawesa
Don't drink and drive that's a wrong thing
But ni german machine iko kwa parking
Designated driver pia aki maji
Nasiwezi lala mbukla ama kwa lodGing
[Chorus]
Gin ama Whiskey? (Gin)
Ladies say hey ukina tipsy, (Hey)
Na unataka chupa moja ama mbili (Mbili)
Ka we ni gazla chaser ya nini (Dry no chaser)
Utakunya Gin ama Whiskey? (Gin)
Ladies say hey ukina tipsy, (Hey)
Na unataka chupa moja ama mbili (Mbili)
Ka we ni gazla chaser ya nini (Dry no chaser)
Utakunya Gin ama Whiskey? (Whiskey)
Gin ama Whiskey? (Gin)
Utakunya Gin ama Whiskey? (Whiskey)
Gin ama Whiskey? (Gin)
[Verse 2]
Ukiniona niite chairman (Chairman)
Pewa mbili
Ukiniona niite muhesh (Sema muhesh)
Pewa mbili
Tunaanza polite na mvinyo
Tukiteremsha na kamino
Nikilewa me hukua single
Kunywa pombe tuanze kumingle
Ka akuna tambla tunatumia vikombe
Ka akuna vikombe tunatumia mikebe
Lazima tulewe, itunice na tupige makelele
Aah leo nikutingika, nikulewa leo nikutingika
Tafuta za uber, usijali mzinga nitanunua
Tunapiga sherehe, usiku mzima adi tuone jua
Niko na swali niulize? (Eeeh)
Ni ulize? (Uliza)
Niko na swali niulize? (Eeeh)
Ni ulize? (Uliza)
Ni nini ukikuywa lazima ukunge sura? (Shots shots shots)
Munataka mzinga ama munataka shots? (Shots shots)
[Chorus]
Utakunywa Gin ama Whiskey? (Gin)
Ladies say hey ukina tipsy, (Hey)
Na unataka chupa moja ama mbili (Mbili)
Ka we ni gazla chaser ya nini (Dry no chaser)
Utakunya Gin ama Whiskey? (Gin)
Ladies say hey ukina tipsy, (Hey)
Na unataka chupa moja ama mbili (Mbili)
Ka we ni gazla chaser ya nini (Dry no chaser)
Utakunya Gin ama Whiskey? (Whiskey)
Gin ama Whiskey? (Gin)
Utakunya Gin ama Whiskey? (Whiskey)
Gin ama Whiskey? (Gin)
Yoo aah
Written by: Paul Baraka Otieno
instagramSharePathic_arrow_out