Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Zuchu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuhura Othman Soud
Zuhura Othman Soud
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

Heh! Zuchu, Chu, Chu, Chu Gogu (Ayo Lizer) Mmh, rafiki yangu kwenye shida, rafiki yangu kwenye raha Niko naye kila mida, hajawahi nikataa Yuko radhi mi kushiba, yeye ndo ashinde njaa Sio mwengine ni mama Labda nikupe picha Uone nafasi yako maana Nikikukosa kwenye maisha Eh-eh, kiukweli itanichanganya, eh-eh-eh Mitihani Yake yangu mimi Nikulipe nini Kiasi gani mi sioni, oh, mama Mama, I love you, mama Mama, nakupenda sana Mama, I love you, mama Mama, nakupenda sana Mmh, ee Mola uliyejaa rehema natanguliza shukrani (asante) Bila huyu mama mwema ningekuwa mgeni wa nani (asante) Mnaowavunjia heshima nyie mnawezaje kwani Mimi wangu akinuna, moyo unakosa amani Mitihani Yake yangu mimi Nikulipe nini Kiasi gani mi sioni, oh, mama Mama, I love you, mama Mama, nakupenda sana Mama, I love you, mama Mama, nakupenda sana Hey, mamangu njoo tucheze kandili (kandili katikatikati katikati) Cheza kandili (kandili katikatikati katikati) Tingisha kiwiliwili (kandili katikatikati katikati) Kakaka (kandili kati)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out