Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Aslay
Aslay
Performer
Osama
Osama
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Aslay
Aslay
Composer
Aslay Isihaka
Aslay Isihaka
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Zest Daud
Zest Daud
Producer

Lyrics

Me siwezi kula mpaka ale yeye tena nimlishe kwa kijiko
Nyimbo nimuimbiie, kama kuna joto nimpepee, nimpepee
Kisha, nibembeleeze, nimliwaaze, na kama kuna kosa beibee anieleeze
Nibembeleeze, nimliwaaze, na kama kuna kosa beibe anielezee
Napigwa na jua mchana kutafuta pesa aje kulaa, usiku tena twagombana hivi kwanini aninyanyapaa? Yo-yo
Baaba, baba kuandika talaka siweezi, bora tu baba nibembeleze mapenzii
Sio poaa, anavyonifanyiaa, ila kinyoonge saana yeeh, navumiliaa
Kama mtoto (Te-te-te) mtoto anavyotembeaa ye-ye-ye yeeh
(Deede) Atabaadiliika ye-ye-ye yeeh
(Te-te-te) Mimi navumilia ye-ye-ye yeeh
(Yoote) Yana mwisho wake ye-ye-ye yeeh
Hili ni penzi la kijeshi, kuruta nipige saluti, kwake hata niwe msafi vipi, makosa sikosi
Ila nikipeti peti, sijui labda nina nuksi, yani, mwenzangu yeye hataki, naambulia matusi
Ilaa sijaali, napandisha moraali, ndo kwanza naleta chipsi na kuku na yaii
Ila sijaali, napandisha moraali, ndo kwanza naleta chipsi na kuku na yai (Alee)
Ah, ah, ah mchuchu ninaye ila sipati kituu uuh, huku ndo kupatwa kwa penzi butuu, uh
Nilikula kofi nilipompapasa usiku, oh nilipotaka kufosi nilichezea teke la huku, kwa babu
Eiye eh, kwa babu
Sio poaa, anavyonifanyiaa, ila kinyoonge saana yeeh, navumiliaa
Kama mtoto (Te-te-te) mtoto anavyotembeaa ye-ye-ye yeeh
(Deede) Atabaadiliika ye-ye-ye yeeh
(Te-te-te) Mimi navumilia ye-ye-ye yeeh
(Yoote) Yana mwisho wake ye-ye-ye yeeh
Badiliika dada badilika, nakusubiri bado, mumeo, mumeo eeh anakusubiri bado
Niombee shemeji yangu nampenda dada yako na namsubiri bado
Mwenzie, mwenziie eh, me nampenda bado
Zesti anajua ninavyouumiia, huwa anajua na vitu vyote nasubiria
Zungu Baunsa anashuhudiia, nikikaa peke yangu me nalia-liaa eeh
Written by: Aslay, Aslay Isihaka
instagramSharePathic_arrow_out