Top Songs By Tunda Man
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Tunda Man
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Khalid Tunda
Songwriter
Lyrics
Kama umechacha siutulie, usitufuate wala bata
Usisikie la kuambiwa jua starehe gharama
Kamwe usiwafate wala bata ukiwa na hela ya ndama
Usinifate kwenye starehe, usije ukanipa lawama
Nitakupa tafu kwenye ku'booste, ikiwa gari lako limekwama
Usinihonge bia kama hujaja na mimi
Ushajijua huna huku umefwata nini
Mi usinipe lawama pindi nikikupiga chini
Hembu nikumbushe mara ya mwisho nilini kuja
Oya-oya kaa ukijua starehe gharama
Oya-oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba (Starehe gharama)
Oya kaa ukijua kwamba (Starehe gharama)
Oya-oya kaa ukijua starehe gharama
Oya-oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba (Starehe gharama)
Oya kaa ukijua kwamba (Starehe gharama)
Usipende mademu wa bure ujue wana madhara
Usipende na pombe za bure ujue zina madhara
Ushajua hela hauna basi usitoke we lala
Usikae mpaka disco liishe ili upande daladala
Mtoto wa kike kavamia bia kilichomkuta (Aibu)
Mtoto wa kiume kaponzwa na bia kashika ukuta
Kaja na hela msiba club we kilichomkuta (Aibu)
Onesha wowowo (Tingisha kama imekwisha)
Oya-oya kaa ukijua starehe gharama
Oya-oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba (Starehe gharama)
Oya kaa ukijua kwamba (Starehe gharama)
Oya-oya kaa ukijua starehe gharama
Oya-oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba (Starehe gharama)
Oya kaa ukijua kwamba (Starehe gharama)
Onaa, (Alivyoumbuka!) Onanaa, (Kimemshuka!)
Umemwacha kalewa kazima, kashtuka kumekucha!
Onaa, (Alivyoumbuka!) Onanaa, (Kimemshuka!)
Umemwacha kalewa kazima, kashtuka kumekucha!
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza watu wanacheka
Ubahili wa watu, ndo maana tuna staa wa mieleka
Oya-oya kaa ukijua starehe gharama
Oya-oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba (Starehe gharama)
Oya kaa ukijua kwamba (Starehe gharama)
Oya-oya kaa ukijua starehe gharama
Oya-oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba (Starehe gharama)
Oya kaa ukijua kwamba (Starehe gharama)
Skuhizi ukitaka kutoka lazima ujipange
Si unajua club ukitoka sio coca ni pombe
Skuhizi ukitaka kutoka lazima ujipange
Si unajua club ukitoka sio coca ni pombe
Written by: Khalid Tunda