Lyrics
[Verse 1]
Je ni nani angeweza
Kututoa chini mavumbini
Maana kila mtu alitukataa
Ila Mungu akatukumbatia
[Verse 2]
Je ni nani angeweza
Kutuinua kutuweka juu
Maana kila mtu alitukataa
Ila Mungu akatuinua
[Verse 3]
Je ni nani angeweza
Kutupatia nafasi
Maana kila mtu alikataa
Ila Mungu akatupatia
[Verse 4]
Hakuangalia elimu zetu
Hakuangalia mionekano yetu
Aliangalia mioyo yetu
Kwake tukapata kibali
[Chorus]
Amefanya Mungu amefanya (Eh-eh-eh)
Amefanya Mungu amefanya (Eh-eh-eh)
Haikuwa rahisi kwa akili zetu (Rahisi)
Amefanya Mungu amefanya (Eh-eh-eh-eh-eh)
Amefanya Mungu amefanya (Eh-eh-eh)
Amefanya Mungu amefanya (Eh-eh-eh)
Haikuwa rahisi kwa akili zetu (Rahisi)
Amefanya Mungu amefanya (Eh-eh-eh-eh-eh)
[Verse 5]
Je ni nani angeweza
Kutukubali jinsi tulivyo
Maana kila mtu alitukataa
Ila Mungu akatukubali
[Verse 6]
Si elimu zetu
Si ujuzi wetu
Ila neema yake 'metuweka hapa
Haikuwa rahisi
[Verse 7]
Eh, vile namna neema yako inafanya
Hakuna elimu inaweza fanya
Hata kama ikishindana, hata kama ikipambana
Neema yako itashinda
[Verse 8]
Hakuangalia elimu zetu
Hakuangalia mionekano yetu
Aliangalia mioyo yetu
Kwake tukapata kibali
[Chorus]
Amefanya, oh yeah (Amefanya Mungu amefanya)
Amefanya (Amefanya Mungu amefanya)
Haikuwa rahisi, rahisi (Haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Amefanya Mungu (Mungu amefanya)
Amefanya (Amefanya Mungu amefanya)
Ni yeye tu (Amefanya Mungu amefanya)
Si mwanadamu, si mwanadamu (Haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Amefanya Mungu (Amefanya Mungu amefanya)
[Chorus]
Haikuwa rahisi oh-oh-oh-oh-oh (Haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Amefanya Mungu (Amefanya Mungu amefanya)
Haikuwa rahisi eh-eh-eh oh-oh-oh (Haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Amefanya (Amefanya Mungu amefanya)
Written by: PAUL CLEMENT