Music Video

Amenifanyia Amani (He has Granted Me Peace) - LYRICS
Watch Amenifanyia Amani (He has Granted Me Peace) -  LYRICS on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
PAUL CLEMENT
PAUL CLEMENT
Performer
COMPOSITION & LYRICS
PAUL CLEMENT
PAUL CLEMENT
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Amenifanyia amani
Amenifanyia amani
Bwana amenifanyia amani
[Chorus]
Amani, amani
Kaondoa
Huzuni yangu kanifanyia amani
Amani, amani
Kaondoa
Huzuni yangu
Say amani
[Chorus]
(Amani, amani)
Kaondoa
(Kaondoa)
Huzuni yangu
Bwana
(Huzuni yangu kanifanyia amani)
Hey amani
(Amani, amani)
Amani yeah
Kaondoa
(Kaondoa)
Huzuni yangu
Bwana
(Huzuni yangu kanifanyia amani
[Verse 1]
Nijapopita kwenye bonde la mauti
Sitaogopa mana wewe uko nami
Gongo lako na fimbo yako
Ebwana vyanifariji
Wanifanyia
Umesema ya kwamba hutaniacha
Sababu mimi ni mboni ya jicho lako
Bwana wanitazama
Asubuhi, mchana, jioni
Kweli mungu wa baraka
[Chorus]
(Amenifanyia amani)
Mungu wa baraka
(Amenifanyia amani)
Kaondoa
(Kaondoa)
Huzuni yangu
(Huzuni yangu Kaniafania amani)
[Chorus]
Mungu wa baraka
(Amenifanyia amani)
Mungu wa baraka
(Amenifanyia amani)
Kaondoa
(Kaondoa)
Huzuni yangu
(Huzuni yangu kaniafania amani)
[Verse 2]
Amebadilisha uchungu wangu (Uchungu wangu)
Umekuwa ni furaha yangu (Furaha yangu)
Huyu yesu
Amenipa furaha kanifanyia
Amebadilisha machozi yangu (Machozi yangu)
Yamekuwa (Furaha yangu)
Woh huyu yesu
Amenipa furaha kanifanyia
[Chorus]
Mungu wa baraka
(Amenifanyia amani)
Mungu wa baraka
(Amenifanyia amani)
Kaondoa
(Kaondoa)
Huzuni yangu
(Huzuni yangu kanifanyia amani)
[Chorus]
Mungu wa baraka
(Amenifanyia amani)
Mungu wa baraka
(Amenifanyia amani)
Kaondoa
(Kaondoa)
Huzuni yangu
Bwana
(Huzuni yangu Kanifanyia amani)
[Bridge]
Amani unipayo sio kama ya dunia hii
Furaha unipayo sio kama ya ulimwengu huu
Wewe waniganga moyo
Nipatapo uchungu wanifanyia amani
[Verse 3]
(Wewe waniganga moyo moyo moyo
Wewe waniganga moyo moyo moyo
Wewe waniganga moyo moyo moyo
Wanifanyiaa amani)
One more time say
(Wewe waniganga moyo moyo moyo
Wewe waniganga moyo moyo moyo
Wewe waniganga moyo moyo moyo)
[Chorus]
Mungu wa baraka
(Amenifanyia amani)
Mungu wa baraka
(Amenifanyia amani)
Kaondoa
(Kaondoa)
Huzuni yangu
Bwana
Huzuni yangu kanifanyia amani
[Chorus]
Amani, amani
Kaondoa
Huzuni yangu
Kanifanyia say amani
[Chorus]
(Amani, amani)
Woh
Kaondoa
(Kaondoa)
Huzuni yangu
(Huzuni yangu kanifanyia amani)
One more time sing
[Chorus]
Amani
(Amani, amani)
Yeah
Kaondoa
(Kaondoa)
Huzuni yangu
Huzuni yangu kanifanyia amani
Written by: PAUL CLEMENT
instagramSharePathic_arrow_out