Lyrics

[Verse 1]
Kila siku Mungu anatupa zawadi
Zawadi ya uhai na afya njema
Hata tukikosea anatupa zawadi
Zawadi ya uhai na afya njema
[Verse 2]
Hivyo neno asante
Litakaa kinywani mwangu daima
Bila kukoma
[Verse 3]
Ndio maana kila siku ninapoamka
Ninamshukuru Mungu kwa zawadi
Wengine wamepata wengine wamekosa
Ninapowaona namshukuru Mungu
[Chorus]
Nashukuru , ya, hai na, baba (Kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Nashukuru, ooh-ooh-ooah oh-oh-oh-oh-eh-eh (Kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Asante, baba, baba baba (Kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Nashukuru baba, nashukuru, ooh-ooh-ooh-ooh (Kwa zawadi ya uhai na afya njema)
[Verse 4]
Anipaye nguvu za kupata utajiri
Sitamshukuru kwa mali bali kwa uhai
Uhai nd'o nguvu za kupata utajiri
Hivyo ninamshukuru kwa afya na uhai
Sisubiri mpaka niwe navyo vingi
Vingi vipo kwenye afya na uhai
Kwa uhai nashukuru, eh baba ninashukuru
Kama si wewe nisingalikuwepo
[Verse 5]
Ndio maana kila siku ninapoamka
Ninamshukuru Mungu kwa zawadi
Wengine wamepata, wengine wamekosa
Ninapowaona namshukuru Mungu
[Chorus]
Nashukuru, ye-eh-ah, hai na (Kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Baba asante, uhai na (Kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Nashukuru kwa, zawadi ya, (Kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Asante, baba, baba baba (Kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Kama si wewe nisingalikuwepo, oh yeah,hai na (Kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Asante kwa huruma,baba, umenihurumia umenihurumia (Kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Asante kwa neema, neema hii ni kubwa, baba (Kwa zawadi ya uhai na afya njema)
Nashukuru, uhai na (Kwa zawadi ya uhai na afya njema)
[Outro]
Ooh-ooh-ooh-ooh-ooh
He-her-arh
Ooh-ooh-ooh
Mh-mh-mmh
Oh-oh-oh-oh
Kila siku Mungu anatupa zawadi
Zawadi ya uhai na afya njema
Written by: PAUL CLEMENT
instagramSharePathic_arrow_out