Lyrics

Umenichanganya, oh mama na sikatai
Ulivyo sexy-sexy I'm gonna die
Uzuri kakupa mama ruksa n'jidai
Harufu karafuu ya Zanzibar, marashi ya Dubai, hallo
Tunafanana kama nyota na mbalamwezi
Twaendana kutengana apange Mwenyezi
Tunafanana kama nyota na mbalamwezi
Twaendana kutengana apange Mwenyezi
Nbebe, nikubebe be
Domo zege wakate ngebe
Una utege, kiuno lege
Utatoboa shati na chuchu dede
Honey nakupendaga
Te quiero
I love you
Te quiero
Te amo, te amo
Te quiero, tee, te quiero
Honey nakupendaga
Te quiero
I love you
Te quiero
Tee
Te quiero, tee, te quiero
Na s'taki mpaka nikukose nd'o nijutie, ama uondoke nd'o tena nilie
Eti mpaka unitoke nd'o niseme nataka nikwambie, kwamba nakupenda kila nikiamka
Na usipo toka machoni mwangu, sitamani hata kula, nahisi raha, unaikosha nafsi yangu
Utamu
Umejifungia moyoni mwangu, yani ninafuraha, naona raha
Utamu
Unaikosha nafsi yangu
Aah
Hivi ulikuaga wapi kipindi naumizwa
Aah
Baby sasa nibebe, nikubebe-be
Domo zege wakate ngebe
Huo utege, kiuno lege
Utatoboa shati na chuchu dede
Honey nakupendaga
Te quiero
I love you
Tee, te quiero
Honey nakupendaga
Te quiero
Te amo, te amo
Te quiero, tee, te quiero
I fall in love
Fall in love
Written by: Marioo, Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out