Music Video

Lava Lava Ft Diamond Platnumz - Far Away (Official Audio)
Watch Lava Lava Ft Diamond Platnumz - Far Away (Official Audio) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Oh baby si unajua nakupenda
Ila moyo wangu mdogo usijepanda ka basikeli
Oh baby penzi usije lipepeta
Ukalipa kisogo, wakaja kunikejeli
[Verse 2]
We ndo sweety, my sheri coco (Sheri coco)
Utamu pipi, mapocho-pocho (Pocho-pocho)
Kitandani kwichi kocho-kocho (Kocho-kocho)
Raha na dhiki msoto-msoto (Msoto-msoto)
[Verse 3]
Eeh penzi tuchunge chunge asiingie shetani
Wapigazo kofi mbuge wakaa barazani
Wenye domo tuchunge Mungu awalaani
Fitina zao watuongee tukwame njiani
[Chorus]
Usiende far (Far away)
Far away, far (Far away)
Usiniache ukaenda far (Far away)
Far baby, far (Far away)
[Chorus]
Ah hee, moyo wangu mama (Utayumba-yumba)
Moyo (Utayumba-yumba)
Mama moyo (Utayumba-yumba)
Mwenzako moyo (Utayumba-yumba)
[Verse 4]
Kisha tudamshe Insta vipicha uchokozi
[Verse 5]
Nami mwanadamu kukosea yangu kaba
[Bridge]
Yarabi penzi nisitiri (Amen)
Nivyashiriki nabadili (Amen)
[Verse 6]
Usiku nikunje-kunje nilale tavani
Kipepeo nipunge-punge mambo sharukani
Kwa mganga nikufunge-funge, ndele kazikani
Eti nikuchunge-chunge mambo kizamani
[Chorus]
Sa usiende far (Far away)
Far away, fararira (Far away)
Usiniache ukaenda far (Far away)
Far baby, far (Far away)
[Chorus]
Ah hee, moyo wangu mama (Utayumba-yumba)
Moyo, moyo (Utayumba-yumba)
Ah moyo (Utayumba-yumba)
Mwenzako moyo (Utayumba-yumba)
[Outro]
(Hee! Oneni wanaona donge) Wanaona donge hao
(Wale macho kununa) Wanaona donge hao
(Wana) Wanaona donge hao
Written by: Lava Lava
instagramSharePathic_arrow_out