Lyrics

[Verse 1]
Kamoyo kangu kachoyo, ila kwako nimetulia
Nairobi mpaka Bagamoyo, anataka kunichumbia
Sasa nalishwa, navishwa, naogeshwaa aah
Tena nalindwa napendwa yule si wa kufichaa aah
Picha kule, kule, watapata taabu saana
Macho mbele-mbele, ananipenda saana aah
Hakuna pingamizi kwetu
Hakuna madrama huku kwetu
Hatuna maneno huku kwetu
Tunapendana kikwetu
[Chorus]
Aka kamoyo kangu nijipe, nijipe
Ukinipenda sana nijipe, nijipe
Aka kamoyo kangu nijipe, nijipe
Ukinipenda sana nijipe (Oh na, na, na), nijipe
[Verse 2]
Mi mwenzako nawezaga kupenda sikatai, kweli
Uh, ndo nishazama usinipige kipapai honey
Mi apo kwako nishabwaga moyo usiulaghai kweli
Uh, ndo ushakwama unachotaka sikatai honey
[Verse 3]
Najua bado huamini haya yamekua (Yamekua ehh)
Acha siamini
Si hakuna pingamizi kwetu (Iyoo)
Hakuna madrama huku kwetu (Iyo)
Hatuna maneno huku kwetu (Iyowe)
Tunapendana kivyeetuu
[Chorus]
Aka kamoyo kangu nijipe (Oh na, na, na), nijipe
Ukinipenda sana nijipe (Nijipe eh)
Aka kamoyo kangu nijipe, nijipe
Ukinipenda sana nijipe, nijipe
[Verse 4]
Mapenzi malove nawe
Iwe shida au raha nitaponda nawe
Nataka kapicha nawe
Kumbusho pale tumetoka nawee
Siamini leo ni mimi nawe (Uuh mama) ni mimi na wewe
Hizi pesa nitafute nawe (Uuh mama) nitafute na wewe
[Verse 5]
Lemme call you my dear
This love is real not bandia
If I love you hutakimbia
Coz my love is real not bandia
[PreChorus]
Hakuna pingamizi kwetu (Iyowe)
Hakuna madrama huku kwetu
Hatuna maneno huku kwetu (Iyowe)
Tunapendana kikwetu
[Chorus]
Aka kamoyo kangu nijipe (Aka kimoyo kanji mie), nijipe, nijipe eeh
Ukinipenda sana nijipe (Ah nijipatie bas), nijipe
Aka kamoyo kangu nijipe (Aka kimoyo kanji mie), nijipe, nijipe eeh
Ukinipenda sana nijipe (Oh na, na, na), nijipe
[Outro]
Nijipe, nijipe
Nijipe, nijipe
Nijipe, nijipe
Ukinipenda sana nijipe, nijipe
Kanadia katamu
Written by: Nadia Mukami
instagramSharePathic_arrow_out