Lyrics

Ooh siamini, kama tuko wote, kama tuko wote, mimi na wewe
Ooh siamini, kama tuko wote, kama tuko wote, mimi na wewe
Wajua pendo letu lilipotoka, si mbali sana mpenzi siwezi me sema
Milima na mabonde mengi tumeshuka
Maneno mengi walisema kote bara visiwani (Oh-oh)
Kidani cha moyo wangu (Oh-oh), sogea karibu yangu (Oh-oh)
Maneno ya kweli kwakoo, siamini
Ooh siamini (Siamini), kama tuko wote, kama tuko wote (Oh yeah), mimi na wewe (Wewe, wewe)
Ooh siamini (Siamini), kama tuko wote (Hoyee), kama tuko wote (Wote wote), mimi na wewe (Hoye)
Taarifa hii timamu, kumbuka leo kitimutimu
Tulashanapo we jangwani, na mambo ya baharini
Sijiwezi asilani, mwenzio kwako taabani (Oh-oh)
Kidani cha moyo wangu (Oh-oh), sogea karibu yangu (Oh-oh)
Maneno ya kweli kwakoo, siamini
Ooh siamini (Ooh yee), kama tuko wote, kama tuko wote, mimi na wewe
Ooh siamini (Siamini), kama tuko wote (Hoyee), kama tuko wote, mimi na wewe (Wewe)
Yu wapi eeh (Hallo-hallo), yu wapi mamake harusi aje hapa tuhangaike nae
Yu wapi eeh, yu wapi babake harusi aje hapa tuhangaike nae
Yu wapi eeh, yu wapi kakake harusi aje hapa tuhangaike nae
Aje hapa, eti aje hapa, sema aje hapa, sema tena aje hapa (Oh-oh)
Ooh siamini (Oh yeah), kama tuko wote (Wote), kama tuko wote (Oh yeah), mimi na wewe (Wewe tu)
Ooh siamini, kama tuko wote, kama tuko wote, mimi na wewe
Ooh siamini, kama tuko wote, kama tuko wote, mimi na wewe
Ooh siamini, kama tuko wote, kama tuko wote, mimi na wewe
Written by: Khalid Salum Mohamed, T.i.D.
instagramSharePathic_arrow_out