Top Songs By Nadia Mukami
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Nadia Mukami
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nadia Mukami
Songwriter
Otile Brown
Songwriter
Lyrics
Eti dera bila tako ni kanzu, bora ata upinde mgongo
Hizo style zimeganda gundi, bora upeperushe mikono
Mauno ya Kitanga na Mvita, hayana mwendo yanalegea
Sina budi kuazima dera, niwakomeshe wasikie vibaya
Kolo, kolola kolo, kolo, kolola kolo
Embe dodo jamani yangu embe dodo, embe dodo tazama yangu embe dodo
Kolo, kolola kolo, kolo, kolola kolo
Embe dodo tazama yangu embe dodo, embe dodo jamani yangu embe dodo
Cheza, cheza mama weh cheza, cheza, cheza mama weh cheza
Nasema mtoto wewe ni mnaughty, hupendi kabeji mtoto unapenda karoti
Ulivyo wa moto umenipiga shoti, twende tukacheze bango
Mama it takes two to tango, niko mwenyewe nami niko jamo
Kula moja-moja ndo utamu wa karanga
Kwa mauno yake ya kanga, mapenzi ya tanga
Ngozi nyororo mtoto wa kidosi, piga picha insta nikuposti
Simiti imekauka roboti, basi punguza kimombo nijieleze kiwazi
Ninavyocheza kayamba (Aii wewe), kiunoni ana shanga (Aii wewe)
Anajua kama danga (Aii wewe), kaniroga kwa mganga (Aii wewe)
Embe dodo, jamani langu embe dodo, embe dodo, jamani langu embe dodo
Kolo, kolola kolo, kolo, kolola kolo
Embe dodo jamani yangu embe dodo, embe dodo tazama yangu embe dodo
Kolo, kolola kolo, kolo, kolola kolo
Cheza mama weh cheza, cheza cheza mama weh cheza
Ninavyocheza kayamba (Aii wewe), kiunoni nina shanga (Aii wewe)
Ninajua kama danga (Aii wewe), kaniroga kwa mganga (Aii wewe)
Ninavyocheza kayamba (Aii wewe), kiunoni nina shanga (Aii wewe)
Ninajua kama danga (Aii wewe), kaniroga kwa mganga (Aii wewe)
Written by: Nadia Mukami, Otile Brown