Lyrics
[Intro]
Mama Amina Belle
Amina Belle Belle eeh
[Chorus]
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
[Chorus]
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu ha-pa
[Verse 1]
Mabibi na mabwana nawaletea kifaa hicho
Chombo hicho
[Verse 2]
Kwanza akifa haozi (Mwamba)
Hana matatizo (Mwamba)
Tajiri hana baya (Mwamba)
Yani amenyooka (Mwamba)
[Verse 3]
Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo
Mungu kanipa Yeye anayenifaa
Wambea najua inawachoma mkaroge Tanga Bagamoyo
Mungu Kapanga Yeye hamwezi kukataa
Namkumbatia
Hamnifanyi chochote
Tena namshika namchumu
Hamsemi chochote
Nambeba pia
Hamnifanyi chochote
Huyu ni wangu natamba simuogopi yoyote
[Verse 4]
Mama Amina Belle
Amina Belle Belle
Mama Amina Belle
Amina Belle Belle eeh
[Verse 5]
Muache apite mbele
Apite mbele mbele
Muache apite mbele
Apite mbele mbele eeh
[Chorus]
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
[Chorus]
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu ha-pa
[Verse 6]
Hana kipele (Mwamba)
Sio bahili (Mwamba)
Tena hajarogwa (Mwamba)
Tajiri amenoga (Mwamba)
[Verse 7]
Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo
Mungu kanipa Yeye anayenifaa
Wambea najua inawachoma mkaroge Tanga Bagamoyo
Mungu Kapanga Yeye hamwezi kukataa
Namkumbatia
Hamnifanyi chochote
Tena namshika namchumu
Hamsemi chochote
Nambeba pia
Hamnifanyi chochote
Huyu ni wangu natamba simuogopi yoyote
[Verse 8]
Mama Amina Belle
Amina Belle Belle
Mama Amina Belle
Amina Belle Belle eeh
[Verse 9]
Muache apite mbele
Apite mbele mbele
Muache apite mbele
Apite mbele mbele eeh
[Chorus]
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
[Chorus]
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu ha-pa
Written by: Rayvanny Rayvanny