Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Latinoh
Performer
Nadia Mukami
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nadia Mukami
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Hali mbaya, nyumbani mwenzenu chakula hakuna
Na si hekaya kuna muda natamani kurudi kwetu
Umenioa unitese, eti kisa kupendwa sana
Imenizidi mipaka, marafki wananicheka sana
[Verse 2]
Nimevumilia sana, kama maji mwenzako yamenizidi kina
Mapenzi bila pesa hapana nimechoka naenda
[Chorus]
We vumilia tu (Siwezi)
Eeh, eeh (Siwezi)
We vumilia tu (Siwezi)
Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe (Siwezi)
Eeh, eeh eeeiyee (Siwezi)
We vumilia tuh (Siwez)
Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe
[Verse 3]
Usijali riziki mafungu kila mtu ana lake
Tumetoka mbali safari bado kidogo baby tufike
Siri zetu zibakie ndani
Usiwape faida majirani
Hata mimi natamani
Upendeze uvimbe mitaani
Usinikimbie eeh eeh
Ukiondoka mwenzako nitabaki na nani
Nihurumie eeh, eeh
Baada ya dhiki faraja yetu ipo njiani
[Chorus]
We vumilia tu (Siwezi)
Eeh, eeh (Siwezi)
We vumilia tu (Siwezi)
Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe (Siwezi)
Eeh, eeh eeeiyee (Siwezi)
We vumilia tuh (Siwez)
Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe
[Verse 4]
Nikipata nita kubuyia ndai
Vaccation dubai
Nguo kila design (Hee uko sure)
Zara Gucci na Channel
[Verse 5]
Photoshoot mumbai,(Acha chocha)
Nitaku treat ufurai
Nguo kila design (Eeh uko sure)
Baby, baby eeh
[Chorus]
We vumilia tu (Siwezi)
Eeh, eeh (Siwezi)
We vumilia tu (Siwezi)
Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe (Siwezi)
Eeh, eeh eeeiyee (Siwezi)
We vumilia tuh (Siwezi)
Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe
Siwez, siwezi, siwezi
Siwezi, siwezi
Written by: Nadia Mukami