Music Video

Rose Muhando - Secret Agenda (Official Video) SMS SKIZA 5969449 OR 4969450 OR 5969448 TO 811
Watch Rose Muhando - Secret Agenda (Official Video) SMS SKIZA 5969449 OR 4969450 OR 5969448 TO 811 on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rose Muhando
Rose Muhando
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rose Muhando
Rose Muhando
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Secret agenda, siri agenda
Secret agenda, siri agenda
[Verse 1]
Kwanza namushukuru Mungu
Aliyenipoza machungu na maneno ya walimwengu
Kweli Mungu sio mzungu
Hafichiriki na machungu
Hakuninyima langu funguu
[Chorus]
Amepindua agenda, ameharibu agenda
Amezifuta agenda, amepindua agenda
[Verse 2]
Bado-bado-bado-badoo, nesema hamjaona badoo
Mawazo ya Mungu ni fumbo (Remember)
Akili za Mungu ni fumbo (Remember)
Wachawi ongezeni bundle, wapigieni wa kiabondo
Wabadilishe na mitindo, sio kilasiku kuruka na umbo
[Verse 3]
Tupigieni na mabondo, akome kuroga na mafundo
Neno la Mungu ni nyundo, sio kama gazeti la shikongo
Yeye, hachunguziki (Haa), ni mwamba, hatingiziki (Ha)
Wala, hapendi kiki (Haa), anapenda sifa na muziki (Ha)
[PreChorus]
Yeye anasema, (Kamata pindo), cheza serebuka, (Leta mdundo)
Yeye anasema, (Kamata pindo), cheza serebuka, (Leta mdundo)
Yeye anasema, (Kamata pindo), cheza serebuka, (Leta mdundo)
Yeye anasema, (Kamata pindo), cheza serebuka, (Leta mdundo)
[Chorus]
Secret agenda, siri agenda
Secret agenda, siri agenda
[Verse 4]
Never never-never-never know, adui zangu hawanipati ng'oo
Maisha yangu yamekwenda viral, Yesu amenifunga ramba serial
Adui zangu webebaki na video
I am a fighter, it is better
I am a fighter, it is better
[Verse 5]
Nitapindua agenda, nitaharibu agenda
Nitazifuta agenda
Nitaharibu nitang'ang'ana, (Ng'ang'ananarara kama defender
Nitang'ang'ana, ng'ang'ananarara kama defender)
[PreChorus]
No retreat (No surrender)
Yeye anasema, (Kamata pindo), cheza serebuka, (Leta mdundo)
Yeye anasema, (Kamata pindo), cheza serebuka, (Leta mdundo)
Yeye anasema, (Kamata pindo), cheza serebuka, (Leta mdundo)
Yeye anasema, (Kamata pindo), cheza serebuka, (Leta mdundo)
[Chorus]
Secret agenda, siri agenda
Secret agenda, siri agenda
Written by: Rose Muhando
instagramSharePathic_arrow_out