Top Songs By Kelvine Scapla
Similar Songs
Credits
COMPOSITION & LYRICS
Kelvine Sengo Kalumna
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Randu
Producer
Lyrics
Ukiona kazi kuanza tena kupenda
Mama nenda usiendelee, usiendelee
Ukiona kama huwezi tena kuondoka
Basi baki tuendelee, tuendelee
Ukiona sometimes nakosea
Usifanye hasira niite tuongee, nije tuongee
Na ukiona kama nimesema ya moyoni
Basi nawe yapokee yapokee
Maana hatujakamilika, kamilika
Na hatutakamilika, (hatutakamilika)
Tunavyohangaika hangaika
Tunajihangaisha tu (tunajihangaisha tu)
Na hakuna anaeyaweza yaweza,
Zaidi ya muweza, ni Mungu tu huyabeba mapungufu yetu..
Wewe ukiweza, hata ukiweza
Hauwezi kuyabeba zaidi Mungu wetu
So ishi naa mi
Kwa akili baby
Ishi naa mi
Kwa akili mamy
Ishi naa mi
Kwa akili baby
Ishi naa mi
Kwa akili mamy
Ishi naa mi
Kwa akili baby
Ishi naa mi
Kwa akili mamy
Wanasema sheria msumeno hukata pande zote,
Hata ukilia na usage meno haubadili chochote,
Kama asili yangu ni kero ondoka usikose vyote,
Kuna siri ndani ya upendo usidhani unajua vyote
Na Amini kwamba
Mina we sio wa kwanza
Yalishalizaga wengi
Amini kwamba
Mi na we sio wa kwanza baby,
Yalishalizaga wengi
So hakuna anaeyaweza yaweza,
Zaidi ya muweza ni Mungu tu huyabeba mapungufu yetu
Wewe ukiweza, hata ukiweza
Hauwezi kuyabeba zaidi Mungu wetu
So ishi naa mi
Kwa akili baby
Ishi naa mi
Kwa akili mamy
Ishi naa mi
Kwa akili baby
Ishi naa mi
Kwa akili mamy
Ishi naa mi
Kwa akili baby
Ishi naa mi
Kwa akili mamy
Ishi naa mi kwa akili mamy
Written by: Kelvine Sengo Kalumna