Music Video

Msamiati x Lody Music - Ananichanganya (Official Video)
Watch Msamiati x Lody Music - Ananichanganya (Official Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Msamiati
Msamiati
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Fredy Benny Mbetwa
Fredy Benny Mbetwa
Songwriter

Lyrics

Ooh oooohh
Uuuuh uuuuuuhh uuuuuuuuuuuh
Lody music on this one
 
Ni wewe hapo unaefanya nipumue
Ukiniacha ni wewe utaefanya nipungue
Huko peke yako kwenye moyo we ujue
Kukuacha siwezi labda mungu ahamue
Honey, nimeweka nia kukupenda pia sina baya mpenzi
Nitang\'ang\'ania niwe na dear kukuacha siwezi
Pole ndio mwendo usije leta papara
Sura inapendeza hata utoke kulala
Penzi lako nazidi kuwa boya fala
Wakituchukia tusimame imara
Kuna mtoto wa mtu
Ananichanganya
Ataniua mwambieni
Ananichanganya
Ooh nananana niage mtu
Ananichanganya
Ataniua mwambieni
Ananichanganya
Aaah mpeni salamu ataniua, ataniua
Eeeh
Sheeessshh
Ughwe Umenyeeeee
Ndaghaaaaa
Eeeeh, mweeeee
Ngughanie fiiijho, fijhoo
Joghwe dunia yangu, nataka uelewe hivyooo
Unanipa raha nasahau matatizo
Mma bebi gwangu anichukiii maelezo
Micheeeezo, viwango kakidhi vigeeeezo
Request nalipa sio deeeeezo
Umbule mama tukwisa kilabhooo
Harusi mipangooo, Babe
Na watoto unizalie, Mpenzi
Nikuonyeshee wakujue, Honey
Weee ndo Nkasi gwangu
Upendo umejaaa amani moyoni mwangu
Mimi Kukupata amepangaa Mungu
Dawa ya vidonda nimepona Machungu
Nguti Ndagha Kyala, we ni wangu
Ueghile indumbula, unajua, kiboko yangu
Kuna mtoto wa mtu
Ananichanganya
Ataniua mwambieni
Ananichanganya
Ooh nananana niage mtu
Ananichanganya
Ataniua mwambieni
Ananichanganya
Aaah mpeni salamu ataniua, ataniua
Written by: Fredy Benny Mbetwa
instagramSharePathic_arrow_out