Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bruce africa
Bruce africa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bruce Elias Sanane
Bruce Elias Sanane
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
DracoBeatz
DracoBeatz
Producer

Lyrics

Kama Ndege wafananao
Siku zote huruka pamoja
Nitaruka nawe babe
Mhhh
Kama wewe
ukichoka nitakubeba Tuende Pamoja
Nitaenda Nawe babe
Mhh
Now I’m In love
Acha nikueleze
Vile unaniweka Roho Juu
Nikikukosa Hewani
Now I’m in Love
Hata iweje
Kukuacha Watangoja Tu
Nishakupata Mwandani
Cause I’m gonna do this for love
Ahhh uuhhhh uhhh uhhhh
For love
I’m gonna do this for love
Ahhh uuhhhh uhhh uhhhh
Sijaambiwa na Mtu
Sihitaji wanilipe, utajiri wangu kukuita honey
Vile wewe ni mali, wanaona wivu
Hata chakula wasinipe, tabasamu ili nishibe honey
Mtamu nje na ndani
Ulinichizisha mapema mama
Wengine hawataniweza mama
Wakiuliza nitaeleza mama
I do it for love
Aki umeniteka mama
Jiko langu utapepeta mama
wakiuliza nitaeleza mama, nitaeleza
That I'm gonna do this for love
(Ahhh uuhhhh uhhh uhhhh)
For love
I’m gonna do this for love Sijaambiwa na Mtu
Ahhh uuhhhh uhhh uhhhh
I'm gonna do this for love
(Ahhh uuhhhh uhhh uhhhh)
For love
I’m gonna do this for love Sijaambiwa na Mtu
Ahhh uuhhhh uhhh uhhhh
Miss murder on the scene, my calamity
My sweet, sweet sugar, miss cavity
If I feast from the back, arch fiti
Dame wa kisure haliwi na CD za charity
Ye huskiza Drake but hapendi Kiki
Ye hukua mreal hapendi self pity
Kwa selfie ni mpretty, kwa roho ni pinji
She stole my heart and ran away
Shanga kwa kiuno akitingisha natii
My remedy I'll work hard, no dust on your feet
Sikubali defeat, I'm down on one knee
Forget the streets, come
Lets Do This For Love
For love
Cause i wanna do this for love
Sijaambiwa na Mtu
Written by: Bruce Elias Sanane
instagramSharePathic_arrow_out