Music Video

Featured In

Lyrics

Kwanza kabisa thanks to the Lord (To the Lord)
Uzuri wako sio wa kudownload (Wakudownload)
Unanishangaza kila siku me sichokii
Mwingine Kama wee me sitakii (Tururutum tum)
Wewe ndo fimbo yangu baby (Tururutum tum)
Ongeza raha zaidi mamy (Tururutum tum)
Nikuweka tu kabisa ndani (Tururutum tum)
Kwangu wewe ndo burudani (Tururutum tum)
Wewe kiboko yangu baby (Tururutum tum)
Ongeza utamu zaidi mamy (Tururutum tum)
Ni wewe tuu-tuu baby (Tururutum tum), ni wewee
I'll give you everything, yeah (Unanivuruga we), I'll give you everything (Unanivuruga)
I'll give you everything darling (Unanivuruga we), I'll give you everything (Unanivuruga)
Nitafunga moyo wangu sitoki, funguo nakukabidhi wee (I'll give you everything)
Nitakupa muda wangu na noti, chochote unachotaka wee (I'll give you everything eeh)
Una rangi ya chocolate, magnetic, romantic
Jinsi ulivyo humble baby, so sexy, wanivuta zaidi
Kurudi nyumbani late me sitaki, (Kurudi nyumbani late me sitaki)
Sababu Nina wivu moyoni ukiwa mbali (Tururutum tum)
Wewe ndo fimbo yangu baby (Tururutum tum)
Ongeza raha zaidi mamy (Tururutum tum)
Nikuweke tu kabisa ndani (Tururutum tum)
Kwangu wee ndio burudani (Tururutum tum)
Wewe kiboko yangu baby (Tururutum tum)
Ongeza utamu zaidi mamy (Tururutum tum)
Ni wewe tuu-tuu baby (Tururutum tum), ni wewee
I'll give you everything, yeah (Unanivuruga we), I'll give you everything (Unanivuruga)
I'll give you everything darling (Unanivuruga we), I'll give you everything (Unanivuruga)
Nitafunga moyo wangu sitoki, funguo nakukabidhi wee (I'll give you everything)
Nitakupa muda wangu na noti, chochote unachotaka wee (I'll give you everything eeh)
Unanivuruga eeh, unanivuruga eeh
(Unanivuruga mamama) Unanivuruga eeh, (Unanichanganya), unanivuruga-vuruga
(Sioni sisikii) unanivuruga eeh, (Yani siwezi), unanivuruga-vuruga
(Mama siwezi) Unanivuruga, (Wee), unanivuruga-vuruga eeh
(Na yale nimukuako sisikii baby) unanivuruga eeh, unanivuruga-vuruga eeh
(Wewe ni hamu) Unanivuruga eeh, unanivuruga-vuruga eeh
(Unanivuruga eeh) unanivuruga eeh, unanivuruga-vuruga eeh
(Unanichanganya-changanya eeh) Unanivuruga eeh, unanivuruga-vuruga eeh
Written by: Jux
instagramSharePathic_arrow_out