Top Songs By Dj Seven Worldwide
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Dj Seven Worldwide
Performer
Dayoo
Performer
Salim Sadick Mutalemwa
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Salim Sadick Mutalemwa
Songwriter
Balthazar Elligy
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lexvibes
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Jamani Mungu kampatia huyu demu
Mungu kampatia ee
Ana maringo, ana shepu na anajua kunata
Walai kampatia ee
[Verse 2]
Ningekuwa na nyumba ama gari
Ningempa yeye
Vyote na wala nisingejali mpaka niwe naye, niye naye
[PreChorus]
Oh baby, onaa
Kipi ntafanya niwe nawe
Oh baby, oh baby
Kipi nifanye niwe nawe
Onaana onaa
Oh baby parang, unavyo katanga
Utanipa lana, onana
Kama kipa ntadaka vyovyote unataka
[Chorus]
Moyoni nimesunder onana, oh nana (Kama huoni )
Yote nayofanya basi we mwenyewe (Kama huoni)
Umeshindwa kusoma ata picha basi (Kama huoni)
Nikubalie nifikirie oh na (Kama huoni)
[Verse 3]
Nifanyeje, nifanye nini kama huoni
Oh nana
Mwenzako macorner-corner nishazoea
Kila siku mi unanisubirisha
[Verse 4]
Mwezako jibu langu nangojea (My we, my we)
Tena hayaishi mapicha-picha unaninyatia
Kama movie, tamthlia
Au unahisi natania (My we, my we)
[Verse 5]
Ubaya umejua nakupenda ndo unanizingua
Au mpaka niwe chizi kisa we ndo utakuja kujua
[PreChorus]
Oh baby, onaa
Kipi ntafanya niwe nawe
Oh baby, oh baby
Vipi nifanye niwe nawe
Onaana onaa
Oh baby parang, unavyo katanga
Utanipa lana, onana
Kama kipa ntadaka vyovyote unataka
[Chorus]
Moyoni nimesunder onana, oh nana (Kama huoni )
Yote nayofanya basi we mwenyewe (Kama huoni)
Umeshindwa kusoma ata picha basi (Kama huoni)
Nikubalie nifikirie oh na (Kama huoni)
Aaiwee nifanyeje, nifanye nini kama huoni
Written by: Balthazar Elligy, Salim Sadick Mutalemwa