Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Man Fongo
Man Fongo
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Man Fongo
Man Fongo
Songwriter
Mesen Selekta
Mesen Selekta
Arranger
PRODUCTION & ENGINEERING
Mesen Selekta
Mesen Selekta
Producer

Lyrics

Umesikia
We umesikia inakuwa ngumu na kavu ikiingia
Utamu unazidi ikigusa mashavu umesikia, unaingiza unaitoa
Umesikia hii mwambie mwenzio maajabu ya bigijii
Umesikia eti ikiingia analia, kama ujamshika kwenye upenyo
Anakimbia ,Umesikia au unasikilizia mfano
 wa yale Maumivu ya mtoto akichomwa sindano
Umesikia gigy money ametiwa hatiani kwa kesi
Ya kusingiziwa, umesikia kama mbuzi analiwa
Kwenye hakika pale mtoto akizaliwa
Umesikia akifika kwenye kilele huwa anafuraha huwa
Anapiga kelele ule mlima Kilimanjaro kufika kilele ndio kipengele
Umesikia mboso, zuchu wanamueka kwenye kolabo ya nyimbo
Inayofata, umesikia au unasikilizia tu unacheka
Mpaka utie kidole ndio usajili unakamilika
Umesika juma lokole anapakuliwa ubwabwa kwa mama
Ntilie,Dr kumbuka anapakuliwa ubwabwa kwa mama ntilie
Wakina mama wakina baba siku hizi wote wanamwaga
Mitumba kwenye minada, mitumba kwenye minada
Weka pale weka tena, mama mama umo umo
Jamani miaka ya kobe
Subiri nikupe ohondo wa utam wa stobeli kutoka kwa
Man fongo fongo miaka ya kobe, Goma limesimama dede
Njooni kati tulicheze meseni nipigie zeze niruke na mabebe
Namtafuta rafiki rafiki rafiki, Rafiki yangu nani nani nani
Rafiki yangu mesen mesen zezeta aaaaaaaah mesen
Siginya baba , Waonyeshe ,Miakaa ya kobeeeeeeee
Umesika juma lokole anapakuliwa ubwabwa kwa mama Ntilie,
Dr kumbuka anapakuliwa ubwabwa kwa mama ntilie
Wakina mama wakina baba siku hizi wote wanamwaga Mitumba kwenye minada, mitumba kwenye minada
Written by: Man Fongo
instagramSharePathic_arrow_out