Top Songs By Nadia Mukami
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Nadia Mukami
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nadia Mukami
Songwriter
Issa Omar
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Nadia Mukami
Producer
Sevens Creative Hub
Producer
TML
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Zawadi kanipa Mungu sasa kwani nini nisipokee?
Zawadi ya kiyoyozi palipo joto baridi unipepee
Tena baridi si nyingi kiasi, usingizi mniletee
Ukitoka kazini uchovu mawazo hunifanya yapotee
[Verse 2]
Hivi ushapendwa?
Maanake nikipenda huwaga napenda kweli
Uoga wa kutendwa
Usihofu mimi si kama wale matapeli
Si leo nadeka nacheza napendwa na wewe
Nishike nipinde, nibebe nimenaswa na wewe
[Bridge]
Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmh baby
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe baby
[PreChorus]
Ha, kina chako cha mapenzi nishazama (Aah haya)
Nguvu zaniisha ukinitazama (Aah haya)
Mi ni wako pekee, mwengine hapana
Walosema watasema sana
[Chorus]
Nimepata zawadi, zawadi yangu mmh
Nimepata zawadi, zawadi yangu hee yeah
Nimepata zawadi, zawadi yangu uuh
Nimepata zawadi, zawadi yangu uuh
Zawadi yangu, zawadi yangu uu
Zawadi yangu, zawadi yangu uu
[Verse 3]
Kwa geti nitaweka umbwa kali
Ndo mafisi wasisogee
Nikulinde nikutunze sarafu
Mikononi usinipotee
[Verse 4]
Niruhusu nikugande chawa
Umenishika pabaya
Unachotaka nini sawa
Maana nishapagawa
[Verse 5]
Jamani penzi letu limebobea
Nimepata wangu mi napepea
Kitausi nariga nikitembea
Unavyonipenda najichekea
[Bridge]
Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe (Na wewe)
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe
Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmh baby
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe baby
[PreChorus]
Ha, kina chako cha mapenzi nishazama (Aah haya)
Nguvu zaniisha ukinitazama (Aah haya)
Mi ni wako pekee, wengine hapana
Walosema watasema sana
[Verse 6]
Nimepata zawadi, zawadi yangu mmh
Nimepata zawadi, zawadi yangu hee yeah
Nimepata zawadi, zawadi yangu uu
Nimepata zawadi, zawadi yangu uu
Zawadi yangu, zawadi yangu (Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe)
Zawadi yangu, zawadi yangu (Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe)
Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe (Na wewe)
Nishike nipinde, nibebe nimenaswa na wewe (Na wewe)
Written by: Issa Omar, Nadia Mukami