Top Songs By Iyanii
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Iyanii
Performer
Mejja
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ian Oure Okwemba
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Saa zingine life hutuweka kwa corner
Unadhani umefika mwisho juu ya stress na mahangaiko
Na saa zingine life hutubamba sana
No time for the bad mind people
Wakadinali avoid those people
[Verse 2]
Ukiwa na stress, usijinyonge
Tafta mtu mkae chini mbonge
Lazima tuta finesse, sisi sio wanyonge
Leo mahangaiko, lakini kesho mafanikio
[Chorus]
Furahia maisha
Kwa hii dunia sote tunapita
Furahia maisha
Kwa hii dunia sote tunapita
[Verse 3]
Unaona niki waroga tu nikiwashika tu
Pia me hukapitia tu
Nimeona mamangu akiwa mgonjwa
Najuwa vile inafeel
[Verse 4]
Nimepoteza familia nimekuwa na depression
Najuwa vile inafeel
I’m a testimony kama nimekuwa poa
Buda pia uta heal aah
[Verse 5]
Kitu muhimu ni peace ya life
Kukapitia ni part ya life
Na send good energy your way
Bad energy stay far away
[PreChorus]
Halloo, smile kidogo
Punguza stress aaii
Halloo, smile kidogo
Smile aaii, aaii, aaii
[Chorus]
Furahia maisha
Kwa hii dunia sote tunapita
Furahia maisha
Kwa hii dunia sote tunapita
[Verse 6]
And we let them know
Don’t disturb my peace
Don’t disturb my happiness
I live for the moment
Kila siku enjoyment
[Verse 7]
Do what makes you happy
You cant please everybody
Usikubali stress ifanye ukuwe depressed
[PreChorus]
Ukiwa na stress, usijinyonge
Tafta mtu mkae chini mbonge
Lazima tuta finesse, sisi sio wanyonge
Leo mahangaiko, lakini kesho mafanikio
[Chorus]
Furahia maisha
Kwa hii dunia sote tunapita
Furahia maisha
Kwa hii dunia sote tunapita
Furahia maisha
Kwa hii dunia sote tunapita
Furahia maisha
Kwa hii dunia sote tunapita
Written by: Ian Oure Okwemba