Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Willy Paul
Willy Paul
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Wilson Ouma
Wilson Ouma
Songwriter

Lyrics

Kama we kitanda mi ndio kwichi-kwichi
Aah tamu halua jigi-jigi
Basi ting' badi malo niku gidi-gidi
Kama we kitanda mi ndio kwichi kwichi
Tamu halua jigi-jigi
Basi ting badi malo niku gidi-gidi
Wanasema kibaya chajitembeza
Wanasema kizuri chajiuza
Umeniwacha mdomo wazi namwaga mate
Na ukamtoa nyoka pangoni
Eeh eeiih usije nizingua
Ooh unanipa furaha isio la kifani oh
Ooh unanipa furaha isio la kifani oh
Ooh unanipa furaha isio la kifani oh
Unanipa furaha isio la kifani oh
Mpenzi wewe ni chocolate (Ooh baby chocolate)
Wewe ni chocolate (Oh mamy chocolate)
Chocolate (Ooh baby chocolate)
Chocolate (Oh mamy chocolate)
Baby hata kwenye okada mi nitakubeba
Na wenye roho mbaya wataona mbaya, wataona fire
Jameni mapenzi kivuruge, inavuruga
Kimenikata maini,mwenzenyu hata siamini
Mapenzi ina changanya
Mpaka matonya anaimba violeti
Inachanganya mpaka mwenzenyu naimba chocolati
Changanya mpaka na chibu anaimba jeje, jeeh
Na kiba aje, nifanye aje
Ooh unanipa furaha isio la kifani oh
Unanipa furaha isio la kifani oh
Ooh unanipa furaha isio la kifani oh
Unanipa furaha isio la kifani oh
Mpenzi wewe ni chocolate (Ooh baby chocolate)
Wewe ni chocolate (Oh mamy chocolate)
Chocolate (Ooh baby chocolate)
Chocolate (Oh mamy chocolate)
Ooh unanipa furaha isio la kifani oh
Unanipa furaha isio la kifani oh
Ooh unanipa furaha isio la kifani oh
Unanipa furaha isio la kifani oh
Ooh baby tamu chocolate
Ooh baby tamu chocolate
Ooh baby tamu chocolate
Ooh baby tamu chocolate
Written by: Wilson Ouma
instagramSharePathic_arrow_out