Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Willy Paul
Performer
Jovial
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Wilson Ouma
Songwriter
Lyrics
[Intro]
Naimba toka motema, ooh baby usije nitema
Naimba toka motema, ooh baby usije nitema
Jovial
[Verse 1]
Baby I never thought
They'd come a day
Ninge fall in love like this
I never thought
They'd come a day
Ninge fall in love like this
[Verse 2]
Baby I never thought
They'd come a day
Ninge fall in love like this
I never thought
They'd come a day
Ninge fall in love like this
[Verse 3]
Walahi this is love, this is love, this is love
That I'm feeling now
This is love, this is love, this is love, this is love
That I'm feeling now
[Verse 4]
Baby niko sure nataka kuwa na wewe, only you
Niko sure nataka kuishi na wewe, only you uuh uuh
[PreChorus]
Imeandikwa mtoto anazaliwa na
Mumama na mubaba
Imeandikwa mtoto anazaliwa na
Mumama na mubaba
Akishakua inabidi aondeke
Kwa mumama na mubaba
Akishakua inabidi aondeke
Kwa mumama na mubaba
[Chorus]
Ooh baby na nakupenda
Na na nakutaka
Ooh baby na nakupenda
Na na nakutaka
And I can't do without you nakupenda
Na na nakutaka
And I can't live without you nakupenda
Na na nakutaka
Ooh lala lalalalala, lalalalala
Ooh lala lalalalala, lalalalala
[Verse 5]
Jovi ona polisi anavolia
Mpaka mufungwa anamubembeleza
Kumbe mapenzi haitambui hata wenyu bunduki
Inapepeta tu kama risasi
[Verse 6]
Kama water fall
Mapenzi yana tiririka mwilini mwangu
Mapenzi ni ya wawili
Nimalize nibaki kiwili wili
[Verse 7]
Nimefall in love... Nimefall in love, fall in love... Nimefall in love
Nimefall in love... fall in love, fall in love... fall in love
Fall in love, fall in love
[PreChorus]
Imeandikwa mtoto anazaliwa na
Mumama na mubaba
Imeandikwa mtoto anazaliwa na
Mumama na mubaba
Akishakua inabidi aondeke
Kwa mumama na mubaba
Akishakua inabidi aondeke
Kwa mumama na mubaba
[Chorus]
Ooh baby na nakupenda
Na na nakutaka
Ooh baby na nakupenda
Na na nakutaka
And I can't do without you nakupenda
Na na nakutaka
And I can't live without you nakupenda
Na na nakutaka
Ooh lala lalalalala, lalalalala
Ooh lala lalalalala, lalalalala
Written by: Wilson Ouma