Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ochu Sheggy
Ochu Sheggy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Robert Eddy Sheggy
Robert Eddy Sheggy
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ochu Sheggy
Ochu Sheggy
Producer

Lyrics

intro
Iyelele mamaa, Iyelele mamaaa eeeh!
OCHU SHEGGY; Kale kasuti kangu kazawadi alikoleta kaka wa Dar-es-salaam,
ndiyo katanipa umaridadi ukumbini kote watanifahamuu
nnaomba uipige pasi mke waangu ila chunga usiunguzeee,nina kikao na wazungu mamamaa inatakiwa nipendezee
ANETH; Ona ulivyokosa haya unanifanya mtoto mdogooo,umekalia umalaya sema unakwenda nyumba ndogooo,utaongea nini na wazungu wakati hujui kingerezaa
OCHU SHEGGY; Kwani umesahau mke waangu mbona nikilewa nnawezaaaa
Tena kabla hujapiga pasi,Nnaomba niagizie pombee,nikilewa mapema itakua safi ili nikifika nikikorogee
CHORUS
Kingerezaa mama wee na nikileewa nnawezaaa, Kingerezaa
eeeheeeee,ni rahisi usijali mke wangu,Kingerezaa ngoja nileweee nitakuoneshaaa, Kingerezaa usijali ni rahisi utaona ninavyoongea,kingerezaaa
ANETH;
Kingereza chenyewe mpaka ulewe aibu mume wanguu
OCHU SHEGGY; mmhhhhh kwanza siendi na wewe nnakwenda mwenyewe wala usijipe taabu
ANETH;Weweeee usiposema ukweli kasuti kako nitakaloweka
OCHU SHEGGY; Umeanza jeuri nnaona unataka talakaa
ANETH;Utakua unanionea na unatumia mfumo dumeeee
OCHU SHEGGY; Siyo kama ninakuonea nawe tumia mfumo jikee,kwani humu ndani mwanaume nani nnaomba nikuulizeeee
ANETH;kwani humu ndani mwanamke nani nnaomba unielezeeeh
OCHU SHEGGY;aaaaakhaa sitaki kubishana nawewe weka moto kwenye pasiii, pombe nitafuata mwenyewe nnaona ushaanza nuksiiiiil
CHORUS
Kingerezaa mama wee na nikileewa nnawezaaa, Kingerezaa
eeeheeeee,ni rahisi usijali mke wangu,Kingerezaa ngoja nileweee nitakuoneshaaa, Kingerezaa usijali ni rahisi utaona ninavyoongea,kingerezaaaaa
outro
kingerezaaa *6 amma we,amma weeee eeheeee
leleleleleelilelee eiyeye yeyeyee
Written by: Robert Eddy Sheggy
instagramSharePathic_arrow_out