Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
MwanaFA
MwanaFA
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamis Mwinjuma
Hamis Mwinjuma
Songwriter

Lyrics

[Chorus]
Kwa Mungu hakuna majungu
Mi nna Mungu (We Endelea Tu)
We endelea tu
Kwa Mungu hakuna majungu
Mi nna Mungu (We Endelea Tu)
We endelea tu
[Verse 1]
As you can see I'm ghetto, and fabolous
Hela zinafanya dunia inazunguka let me handle this
Sihitaji beats kutingisha kichwa chako
Naflow tu,kama nna beats za moyo wako
[Verse 2]
Wakikuuliza naendeleaje waambie vizuri zaidi ya jana
Vizuri zaidi ya wao Mungu ana maguvu sana
Miluzi mingi na kubwa la mbwa sipotei
Mipango ya miaka chungu nzima nna dira hunitoi
[Verse 3]
Yanaitika yakijiskia maisha usiyavalie kikoi
Na sio lazima yakubali kwani unayadai?
Subira haivuti bangi, haigongi nyagi
Inavuta heri tu na haijawahi kubugi
[Verse 4]
Kilienda kwa mganga na ka unavyoona kimerudi
Hata kama hukipendi kukiheshimu inakubidi
Mbuyu ulianza ka mchicha ila mchicha haujawahi kuwa mbuyu
Skiza waliofanikiwa ongeza zako mbayuwayu
[Verse 5]
Anayejifanya anakuamua anakushika upigwe babu
Mtie mitama siku nyingine ashike adabu
Kama message siipendi boss namshoot mpaka messenger
Boss namshoot mpaka messenger (We Endelea Tu)
[Chorus]
Kwa Mungu hakuna majungu
Mi nna Mungu (We Endelea Tu)
We endelea tu
Kwa Mungu hakuna majungu
Mi nna Mungu (We Endelea Tu)
We endelea tu
[Verse 6]
Kikontawa, kishua au kimtaa
Ni kucheza na namba namba ka mtu mbaya Salaah
Kikontawa, kishua au kimtaa
Ni kucheza na namba namba ka mtu mbaya Salaah
[Verse 7]
Tafuta hela za kutosha ila usipige nazo picha
Maisha yanabadilika, kausha ntakufundisha
Pozi za kigoloko lazima zitakufelisha
Amua mwenyewe utazika utasafirisha
[Verse 8]
Hakuna wa kukupigia ngoma kukwambia kuwa umekua
Miyeyusho ya majukumu utakuja tukuombee dua
Utaamka tu unajua kuwa wachawi pia wanafiwa
Hata ukiwa kiboko kuna mahali utazidiwa
[Verse 9]
Ukiwa mkubwa utataka kuwa kama mimi
Shati navaa la jana ila gari nimebadili
Heshima yako imeenda wapi?heshimu pesa bada ya dini
Kwenu hakuna wakubwa wangekuwepo ungeniamini
[Verse 10]
Mwanga simpi mtoto alee kwanza namkausha kizazi
Kata sehemu za siri zitupe Mto Msimbazi
Mi sio mgeni hapa, najua miili inapozikwa
Nna kitabu hapa,najua nini kimeandikwa
[Verse 11]
Ni rehma za Mungu tu, na maamuzi yake tu
Kashaamua alichoamua si ni wake tu
Kisasi hakitanitibu ila na we utakuwa umeumia
So hata nsipokwambia hivi nio nnavyojiskia
[Chorus]
We Endelea Tu
We Endelea Tu
We Endelea Tu
We Endelea Tu
Written by: Hamis Mwinjuma
instagramSharePathic_arrow_out