Music Video

Mo Music Feat Vanillah - Mimi Na Wewe (Official Lyric Video)
Watch Mo Music Feat Vanillah - Mimi Na Wewe (Official Lyric Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mo Music
Mo Music
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Moshi Katemi
Moshi Katemi
Songwriter
Fanuel Phabian Peter
Fanuel Phabian Peter
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mafeeling
Mafeeling
Producer

Lyrics

Uzuri wa thamani ya madini
Shepu nguva wa baharini
Kumpata bahati siamini
Kafundwa mila nzuri tamaduni
Navile ameniweka akilini
Mwilini amenijaza vitamini
Nanenepa jamani
Nanenepa jamani
Navile ukinitouch my body
Mwili unakufa ganzi
Naning’inia kanifunga kitanzi
Bora niyaweke wazi yani mpaka kifooo
Mimi nawewe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Acha kifo kitutenganishe
Mimi nawewe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Acha kifo kitutenganishe
Ukunipendea mkwanja
Hukunipenda sababu
Nakupeleka viwanja
Na uko na Mimi tangu sina hata mia
Kweli ulinivumilia ata niliposhindwa kukuhudumia
Beibee tujipe tuzo
Mana tunaupendo wa kweli usio na maigizo
Beibeee sitokupa Rikizo
Hii safari ya milele Uendako na Mimi niko
Kwasasa ni niwengi ni wengi
Wanao kutamani mpenzi
Wanaoona wivu tukispendi
Hawajui tulihaso minaweewe
Mimi nawewe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Acha kifo kitutenganishe
Mimi nawewe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Acha kifo kitutenganishe
Written by: Fanuel Phabian Peter, Moshi Katemi
instagramSharePathic_arrow_out