Lyrics

[Verse 1]
Kwenye darkness, we ni candle
Professional wa kuhandle
The way you take me to the angle
We ni human being ama angel
[Verse 2]
If you want my heart oh
I give you baby carry go
Kidogo changu ndo chako
[PreChorus]
Ongeza njonjo madoido (Aah eeh)
My sheri coco
Kwa baridi nipe joto (Aah eeh)
Kisha tupate kimoko
Babu Bibi Kurwa Doto (Aah eeh)
My sheri coco
Kwa baridi nipe joto (Aah eeh)
Kisha tupate kimoko
Babu Bibi Kurwa Doto
[Chorus]
Paranawe, paranawe (I want to see you dance)
Paranawe, paranawe (I like the way you dance)
Paranawe (Gogaa), paranawe (I like the way you dance)
Paranawe (Gogaa), paranawe
[Verse 3]
Hivi unasokota
Jicho lako legelege linadondoka (Nakuuliza)
Hivi unaka Motor, pangaboy chenga Jay Jay Okocha (Wanimaliza,)
Pretty girl, nasty, nitasema sorry nikimbezaa
Ata kama nyuma umepigwa pasi
Sura mbaya dawa yake make up
[Verse 4]
Uwee kiwembe ntakula kiporo
Nimeshapenda sijui kasoro
Jirembe uwe mororoo
Kama huna shepu vaa kigodoro
[Verse 5]
If you want my heart oh
I give you baby carry go
Kidogo changu ndo chako
[PreChorus]
Ongeza njonjo madoido (Aah eeh)
My sheri Coco
Kwa baridi nipe joto (Aah eeh)
Nyundo itwange kokoto
Pekupeku kama mpoto
[Chorus]
Paranawe, paranawe (I want to see you dance)
Paranawe, paranawe (I like the way you dance)
Paranawe (Gogaa), paranawe (I like the way you dance)
Paranawe (Gogaa), paranawe
[Verse 6]
Yaani kasweety, katamu mi nakujua uwa
Na kanavyo jishaua uwa (Ulimi pipi)
Snap na vimauaua, midomo denda ngozi murua uwa
[Verse 7]
Ausha, ashawa
Pauka, pakawa
Inuka pagawa, eeh-eeh
Zinduka mandawa
Pinduka kagawa
Karuka mabawa
[Chorus]
(I want to see you dance) Paranawe, paranawe
(I want to see you dance) Paranawe, paranawe
(I like the way you dance) Paranawe (Gogaa), paranawe
(I like the way you dance) Paranawe, paranawe
[Bridge]
Woyoo, woyoyoo (Woyoo, woyoyoo)
Woyoo, woyoyoyo (Woyoo, woyoyoo)
Sheky what your mama gave you
Cheki wanaona wivu
Sheky what your mama gave you
Cheki wanaona wivu
[Chorus]
Paranawe (Sheky what your mama gave you)
Paranawe (Cheki wanaona wivu)
Paranawe (Sheky what your mama gave you)
Paranawe (Cheki wanaona wivu)
Paranawe (Sheky what your mama gave you)
Paranawe (Cheki wanaona wivu)
Paranawe (Sheky what your mama gave you)
Paranawe (Cheki wanaona wivu)
Written by: Harmonize, Rajabu Abdukahal Ibrahim, Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out