Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Songwriter
Chris Shalom
Chris Shalom
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Dady ooh umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele
[Chorus]
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Dady ooh umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele
[Verse 2]
Umerudisha tabasamu langu usoni
Umerejesha na furaha yangu moyoni
Umenijibu kwa watu nisiodhani
Baba umejua kunifurahisha
[Verse 3]
Niliyeitwa laana nimefanyika baraka
Niliyeonekana sifai umeniheshimisha
Umenipa sababu ya kujidai na kukutukuza
Baba umejua kunifurahisha
[Chorus]
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Dady ooh umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele
[Chorus]
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Dady ooh umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele
[Verse 4]
Father to the fatherless
Look what you have done for me
You have done for me
You wiped the tears from my eyes Lord
Look what you have done for me eeh
[Verse 5]
The chain and the shackles that held me bound you have cut it all away
Ooh what a life, beautiful life you’ve given me
Baba umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele
[Chorus]
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Daddy ooh mejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele
[Chorus]
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Dady ooh umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele
[Chorus]
Baba ooh
Baba ooh
Baba ooh
Dady ooh umejua kunifurahisha
[Chorus]
Baba ooh
Baba ooh
Baba ooh
Dady ooh umejua kunifurahisha
[Chorus]
Baba ooh
Baba ooh
Baba ooh
Dady ooh umejua kunifurahisha
Written by: A, Chris Shalom, Joel Lwaga
instagramSharePathic_arrow_out