Lyrics

Si mwingine Mr Bonventure hapa, straight toka Bongo, mpaka Kisumu, Naivasha
Nairobi, Mombasa kila kitu gooda-gooda, na muda umefika sasa kutuma posa kwa Huddah
Kucheka-cheka na ma stingy sitaki, wamesha chezea blocku kwenye simu hawanipati
Busy natua show collabo za nchi za kati, nashangaa unaenidisi na huna hata mchongo wa laki
Madem wawonge nani, labda bundle la chuo, hata mkisema sisimami, freshi sinanga kituo
Mjini kupambana, utoke jasho soda nanda, ukileta stori unabao, na shauri ukajenge banda
Nilizaliwa niwe Tupaci mmh, Tupac wa Bongo, sema nikanyimwa six packs, na kichwani sina dongo
Bila mkuyati wala vumbi la Congo, madem wanasema smart, yana flesh haina zongo
Okay, baba, ngida babayaro, Rostam collabo na baba yao, wezo wao, style zao napigwa na fikira zao, so wacha watu dissi na sisi sio size yao
Nairobi to Dar tuko masaa uliza mitaa kwa ma boss man (Eeh), hapa tu kazi, vile inafaa, OG collabo na Rostam (Heey)
Aki ya nani now you know (Aki ya nani now you), na-na-na now you know (Na-na-na now you)
Aki ya nani now you know, aki ya na-na-na now you know, na-na-na now you know
Na hawakuchanuliwa ni akina na nani, ndio sahii wana worry
Tume pull up na ndai na ma lorry, zimejaa ma OGs killas walahi mpaka shorties, kazi saa hii ni kutuchambua ki Saida Karoli
They call me Mugabe zile pande za Dodoma, ata Zimbabwe nina Stamina ya Roma
That means I can't fall, niko firm kisimiti, Khali me na stand tall, ju ya fans na sikiki
Nikipita mtaa vile wasupaa wana stare, they know I got the doh me naeka duka jo I swear
Wanapenda ile lugha nawapea, I don't do cheap liquor, huoni chupa za Belaire
Incase i'm in the stu then ni verse ndo nachana, busy grinding mpaka shati iko na jasho ya jana
You on the top, hizo vako wachana, I've been rappin' toka enzi za Vasco Da Gama
Me ni msharp toka zama, niko class moja blunder, kwa darasa ya mziki me ni ka bus ndo kwa maana
Kila wakati nachora nawacha black board alama, kama Castro I'm bad boy na bado nasimama
Ujumbe itafika toka mtaa na I'ma Yolo, I guess that's why nikipiga buzz wana follow
I'm only Kong, we umekaa kwa godoro, I'm a star me na paa mpaka Dar hadi Molo
Nairobi to Dar tuko masaa, uliza mitaa kwa ma boss man (Eeh), hapa tu kazi, vile inafaa, OG collabo na Rostam (Heey)
Aki ya nani now you know (Aki ya nani now you), na-na-na now you know (Na-na-na now you)
Aki ya nani now you know, aki ya na-na-na now you know, na-na-na now you know
Na siyo Zimbabwe tu, kavuka border kwa mkaburu, ukiona analeta ubabe ujue hawapendi niwe huru
Na nanyataa, mpaka Kenyattaa (Uhuruu), natekenya paa kwa paa (So piga nduru)
Na hii verse nawachinja, you guys yo wanna made it, mnataka kupiga binja huku mnatafuna githeri (Hawataweza)
Hata saa mbovu kuna muda inasema ukweli, mbona mnatoka mapovu, mmepanic na mmefeli
Me mkatoliki nalindwa na damu ya Kristo, leo Papa Jones umekutana na Papa Benedicto, so kaloge Kisumu nikulogee Mombasa
Ujue mimba ni sumu mheshimu gumba na tasa (Ii kwetu Tanzania!)
Ma afande hawananga peacee, niko Kenya na iko tungi na la mrungi na polis
Usi download pornograph, kwa WiFi ya msikitii, hey Khaligraph juu niko chonjo na niko fiti
Na sina mistari mikali juu tu niliandika ghafla, ila na flow mbaya kama jiko yakipiga chafya
Ukijichocha me naleta mashauzi, na tongwe ndo kocha karibu Tanga tuvute pumzi
Nairobi to Dar tuko masaa, uliza mitaa kwa ma boss man (Eeh), hapa tu kazi, vile inafaa, OG collabo na Rostam (Heey)
Aki ya nani now you know (Aki ya nani now you), na-na-na now you know (Na-na-na now you)
Aki ya nani now you know, aki ya na-na-na now you know, na-na-na now you know
Written by: Khaligraph Jones
instagramSharePathic_arrow_out