Lyrics

[Intro]
Uno heii
Everybody say uno
Asema uno everybody say uno
[Verse 1]
Uno likiteguka uwezi kutemba
Masai rukaruka anilinyenyekea
Chumbani kwenye shuka linanitetea
Mzugu kawehuka limemukolea
[Verse 2]
La kimakonde lakichaga (Eeh la kichaga)
Wengine hadi wanywe pombe ndio (Eeh wanalimwaga)
Uno lawima wima linatokea Congo
Sindolile Gwajima alimumwagia kondo
Uno oh, oh, oh, oh
[PreChorus]
Linawaokoa makahaba-baba
Kuna walo ngoa meno saba-baba
Lilimtoa H-baba
Yani a-e-i-o-uno
[Chorus]
Everybody say uno
Asema uno everybody say uno
(Uno) Meza migando Kama hautaki
(Uno) Upinde Kama unakanda chapati
(Asema uno) Basi lizungushe hadi kwenye bati
(Uno) Mwaga kwote varangati
[Verse 3]
Basi kata taratibu tibu usije pata ajali
Uno la chibu Chibu (Linamkondesha Zari)
Uno la Ray-C ii iih halinaga mifupa
Ukienda DRC iii iih kuna Fally ipupa
[Bridge]
Aah popote wanalimwaga (Uno)
Yani kinagaubaga (Uno)
We jaribu kuchunguzanga (Uno)
Uno ndio linalegeza chaga (Uno)
[PreChorus]
Linawaokoa makahaba-baba
Kuna walo ngoa meno saba-baba
Lilimtoa H-baba
Yani a-e-i-o-uno
[Chorus]
Everybody say uno
Asema uno everybody say uno
(Uno) Meza migando Kama hautaki
(Uno) Upinde Kama unakanda chapati
(Asema uno) Basi lizungushe hadi kwenye bati
(Uno) Mwaga kwote varangati
[Outro]
Uno everybody say uno
Casema uno everybody say uno
Written by: Rajab Abdul, Rajabu Abdukahal Ibrahim
instagramSharePathic_arrow_out