Lyrics
[Intro]
Yea yeah Oh na
Nahreel on the beat
[Chorus]
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
[Verse 1]
Nina midadi ka ya rumba (Wee)
Kibao kata ukinyonga (Onaah)
Mfukoni na mavumba (Wee)
Rungu ndichi linasunta (Eeh-eeh)
[Verse 2]
Yani bo bo bo bo
Kananikoshaga ro ho ho ho ho
Yani nasimama de de de de
Kakitingisha wo wo wo wo wo
[Verse 3]
Baby girl dance for me one time (Secreto)
Miuno feni kunata (Secreto)
Tena jifunge na ngata (Secreto)
Zile za kibao kata (Secreto)
[Verse 4]
Baby girl dance for me one time (Secreto)
Miuno feni kunata (Secreto)
Tena jifunge na ngata (Secreto)
La la la la la la la la...
[Chorus]
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katika aah eh
[Chorus]
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
[Verse 5]
Yani katoto ka ni, kako ni ni ni
Kamekazika yani ngi ngi ngi
Nyuma mbwii, kako mbwi mbwi mbwi
Kana misifa shangi ngi ngi
[Verse 6]
Nilikavizia kitamboo (Aah eh)
Leo kamenasa chambo (Aah eh)
Nkapakia na mgando (Aah eh)
Kajegeje karambo (Aah eh)
[Verse 7]
Kana michenzo ngomani
Sindi mbali zombe
Nami nampatia za pwani
Muhogo wa jang'ombe
[Verse 8]
Yani eh eh eh eh
Kananikoshaga roho oh oh oh
Waga nasimama de de de de
Kakitingisha wo wo wo wo
[Verse 9]
Ooh yaah
Ooh nadendea
Yani siwezi kutembea
Che cheme na checheme
Yani hadi na legea ah
[Chorus]
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katika aah eh
[Chorus]
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
[Verse 10]
Maumivu naugulia
Mwiba ukizama nahisi mateso
Utamu mang'ang'ania
Ndizi kwa nyuma napata mchecheto
[Verse 11]
Nakuna Nazi kwa mkongojo (Aah eh)
Naunga mchuza wa sotojo (Aah eh)
Una la rosti rojo rojo (Aah eh)
Mikunjo Fulani wa bogojo (Aah eh)
[Verse 12]
Kibao kata tenteme tenteme
Kilinge ni kuzama uchutame
Uwezi pata we mpaka usimame
Haichagui mwembamba mnene
[Verse 13]
Nikalaze kwa bed kitanda (Kwa gheto)
Nikachezeshe samba (Loketo)
Na kalivo na body kinanda (Sepetu)
Tunguli zimenibamba (Mobetto)
[Chorus]
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katika aah eh
[Chorus]
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Katik, katika aah eh
Written by: Diamond, Emmanuel Mkono, Mavogy, Nahreel