Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Dollo
Performer
Wachuja Nafaka
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Paul Peter Matthysse
Songwriter
Lyrics
Ladhia wangu wewe' number one
Nakupenda sana' si utani
Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
Ladhia wangu wewe' number one Nakupenda sana' si utani Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
{Verse 1:}
Leo ikishakuwa hivi' na kesho ijayo vipi?
Sijui nikufanyie nini' uniamini utwae nami
Toa shaka unaleta furaha ambayo mi napenda mama
Ladhia' malkia' moyo wangu umekuangukia
Siku izi anaekwambia, anaekuk'akishia, anae kuthibitishia
Siwezi kubadili wazo' nafasi yako ipo na bado,na bado
Pozi, dharau' tuweke kando
Barafu halijengi jumba, ukweli nakupa
Chum...chum...
Mpaka pale kwenye kunoga
Na mboga bila kitunguu' haijanoga
Ladhia wangu wewe' number one
Nakupenda sana' si utani Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
Ladhia wangu wewe' number one
Nakupenda sana' si utani Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
Nakujali kwa dhati,sio kwa nyakati
Mida mida mi' baya jana usiku' shangaa
Nafanya "sharp sharp" sioni freshi kuzu' ba
Mademu wangu wengi' kila kona wamejaa
Lakini naona sio mental mimi kuwa far
Ndo maana nimeona freshi nikupe dukuduku
Maneno hayana chuki,jealous wala sijishuku
Kuniomba omba vihela, lakini we marufuku!
Kupenda sijui kutangaza hadharani' nimpe faida nani?
Hii ina maana gani? Kusema unanipenda ndivyo ilivyo' au una nichenga?
Ntajinyonga kwa uzi, Big G, hata kwa udenda
Ntapogundua kuwa Chuchu umenitenga
TV ya body (?) ' naona chenga
Mapenzi sio fedha, wala kumla pweza
Na wala haina haja hivi vitu kuvigeza
Ni kipi kinachokufanya wewe unageza?
Mapenzi' kubembelezana, kusamehana
Tunasuluhisha, yanaisha
Na mdaa wa kutoa muafaka
Tunafunga pingu ya maisha
Nikipi kinacho tatiza?
Nafsi yako kwangu imefika na imezaa
Unachotaka' hata mie ntatimiza
Nakaa "worker" jua mchana' kisiingie giza
Ladhia wangu wewe' number one
Nakupenda sana' si utani Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
Ladhia wangu wewe' number one Nakupenda sana' si utani Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
( Ladhia wangu wewe' number one ...
Usiskie nge'ndembwe za jirani... )
( Ladhia wangu wewe' number one...
Usiskie nge'ndembwe za jirani...
Maana wao wana chuki asilani...)
Ladhia wangu wewe' number one
Nakupenda sana' si utani Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
Ladhia wangu wewe' number one Nakupenda sana' si utani Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
(Instrumental)
Writer(s): Juma Nature, KR Mulla ,Dollo
Written by: Paul Peter Matthysse