Credits

PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rajab Abdul Kahali
Rajab Abdul Kahali
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Hunter
Hunter
Producer

Lyrics

Eeh! Hainistui! Hainistui! Hainistui! Hapa nilipo kesho yangu sijui
Konde wenzako watakuroga (Hainishtui), au na wewe ushaogaa (Hainishtui)
Maana hunaga uoga (Hainishtui), hapa nilipo kesho yangu sijui
Eeh leo nimepata kesho nimekosa, kazi ya Mola haina makosa
Huyu kampa boda mwingine verosa, vuta subira ngoja Mungu ajakutosa
Majungu na fitina na-naa, zigeuze changamotoo
Maneno muachie Amina na-naa, dawa ya moto ni motoo
Wapo walosema Konde atapotea (Konde atapotea)
Ndege katia gia chombo iyo inapepea (Chombo inapepea)
Nininakula kwa jasho ooh-ooh, nipatacho naridhika
Ninasubiri kesho ooh-ooh (Zamu yangu itafika)
Nenda waambie, kwamba, eh! Hainistui!
Hainistui! Hainistui! Hapa nilipo kesho yangu sijui
Ah wenzako wanakuchukia (Hainistui!)
Tena wamepanga kukubania (Hainistui!)
Isitoshe wao ni matajiri (Hainistui!)
Usijali we tumia tu akili (Hapa nilipo kesho yangu sijui)
Yii! Sinaga sifa za kujisifu najua, kila kukicha kwa Mungu naomba dua
Hustle nazidisha ili nizidi tusua, wakinifunika kesho nitawafunua
Tena waambie eeh eeh, mchanga hauzikwi, unaubadilisha makazi
Huwezi ziba riziki, bure utajipa kazii
Mi niinakula kwa jasho ooh-ooh, nipatacho naridhika
Ninasubiri kesho ooh-ooh, zamu yangu itafika
Nenda waambie, kwamba, eh! Hainistui!
Hainistui! Hainistui! Hapa nilipo kesho yangu sijui
Mwana anakula tungi mbayaa (Hainishtui)
Yule dada anadanga, malaya (Hainishtui), ataishi pabaya (Hainishtui)
Inauma ila itabidi wazoee
Inauma ila itabidi wazoee
(Wakimuona dodo na chopa) Inauma ila itabidi wazoee
(Siku izi Konde Gang wanatuogopa) Inauma ila itabidi wazoee
Written by: Rajab Abdul Kahali
instagramSharePathic_arrow_out