Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Rasco sembo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
NORASCO NOVATH
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Crush On the Beat
Producer
Lyrics
Ntapiga makofi mawili matatu .
Na ukitaka peku ntavua na Viatu
Na maji siwezi kuyabeba kwenye kikapu ..
Ila ntakupa we Uyabebe waambiane Watu .
Na mi nachokitaka tuwashangaze
Tuwafunge midomo wanyamaze
Tuwapostie na picha watutangaze
Kwenye page za udaku wenye Stress watuwaze /
Na naomba kuanzia Leo waweke akilini
Kua Mimi Ni wewe na wewe Ni Mimi .
Hata nkikuwekea makopa kwani shida nini
Hata ukitaka Mapacha utazaa na Mimi
Ok kiss me Kiss me Baby
Ok miss me miss me daily
Ok kiss me, kiss me, baby
Ok miss me, miss me Daily
Kama muangaza Unaniangazia Na najiona mbali wewe
Umenipa kipaza Cha kukusifia na Nkupiganie wewe
Uzuri upo na sura ipo Oh
una mboni yaani una jicho Oh
Naacha Fujo na beba jiko
Mi Ni wako sisumbui eeei
Usije ujabadilika ka Kinyonga
Usije ukatonesha nà kidonda
Ushanisahaulisha ya mjomba
Usije ukaniumiza Please baby nakuomba
Navyotizama macho yako Napagawaaa Na hizo lips zako
Vile ukitaka fimbo yako mi na chachawa Baby mi Ni wako
Wewe kwangu Ni dozi usinitoe Chozi ,Your my life
Nikiwa na we na vimba Kama Boss hata ukinipa Loss Your my wife
Ok kiss me ,kiss me Baby
Ok miss me miss me daily
Ok kiss me kiss me Baby
Ok miss me miss me dailly
Kama muangaza Unaniangazia Na najiona mbali wewe
Umenipa kipaza Cha kukusifia na Nkupiganie wewe
Uzuri upo na sura ipo Oh
una mboni yaani una jicho Oh
Naacha Fujo na beba jiko
Mi Ni wako sisumbui eeei
Ok kiss me ,kiss me Baby
Ok miss me miss me daily
Ok kiss me kiss me Baby
Ok miss me miss me dailly
Written by: NORASCO NOVATH