Top Songs By Baddest 47
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Baddest 47
Performer
Shilole
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Linus Aggrey
Composer
Zuwena Yusuph Mohamed
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Tupo shishi 40 tunalewa (Lewa)
Kapita baharia kanielewa (Lewa)
Tukaitishe si japo ameolewa (Lewa)
Nipe nijione nangekewa (Lewa)
[Verse 2]
Nikasema uchepe atanipa mapesa
Ati hanipi mi kwa bedi mwepesi
Ati anachenga magoli ka Messi
Nahisi waambia kama shosti
[Verse 3]
Kanivunja katikati, kati kati
Katamani pale kati, pale kati
Kalewa kibati bati, kibati bati
Kilichofuata, aah-aah
[Verse 4]
Asa sijui nikagongee nyagi (Eeh)
Au nikagongee veve (Eeh)
Sijui nikagongee banana (Eeh)
Au nikagongee Yokozuna (Eeh)
Asa sijui nikagongee nyagi (Eeh)
Au nikagongee veve (Eeh)
Sijui nikagongee banana (Eeh)
Au nikagongee Yokozuna (Eeh)
[Verse 5]
Nakwama chizi boti badman
Haka kamanzi sijui ka nani
Kanapitapita badman
Haka kamanzi hivi ka nani?
[PreChorus]
Mbona kama kila mtu yuko (Eeh)
Splugger bad swag yupo (Eeh)
Oya KB nawe upo (Eeh)
Edmond naye kumbe yupo (Eeh)
[Chorus]
Asa sijui nikagongee nyagi (Eeh)
Au nikagongee veve (Eeh)
Sijui nikagongee banana (Eeh)
Au nikagongee Yokozuna (Eeh)
Asa sijui nikagongee nyagi (Eeh)
Au nikagongee veve (Eeh)
Sijui nikagongee banana (Eeh)
Au nikagongee Yokozuna (Eeh)
[Bridge]
Kanivunja katikati, kati kati (Eeh)
Katamani pale kati, pale kati (Eeh)
Kalewa kibati bati, kibati bati
Kilichofuataa, aah-aah (Eeh)
[Outro]
Hommie, badgal
Shishi beiby, badgal
Anamoyo, badgal
Champaigne boy, bad man yeah
Duruba duruba, bad man
Baddest, bad man
Alon, bad man, bad man
Maki, bad man
Mazuu, bad man
Of course am a, bad man
Written by: Linus Aggrey, Zuwena Yusuph Mohamed