Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lady Jaydee
Lady Jaydee
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Judith Wambura Mbibo
Judith Wambura Mbibo
Composer

Lyrics

Nikaja kupenda na moyo wangu wote binti huyu aliyenifanya nimuote
Usiku na mchana nikawa nikama nimepagawa sionekani popote
Nikaja kutenda mambo mengi magumu na mazito
Ilimradi niwe naye lakini sasa ninapotazama naona kwamba niliachwa upweke
Nilikuwa na wingi wa mahaba, nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza
Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa
Nilikuwa na wingi wa mahaba, nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza
Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa
(Rosella) Mi najiuliza, Rosella (Je umebadilika)
Rosella (Nashindwa kuamua aah)
Rosella (Mi najiuliza), Rosella (Je umebadilika)
Rosella (Nashindwa kuamua aah
Ni ukweli niliamua kuondoka
Nikidhani nitapendwa niendako, ooh hakuna
Oh mi nilidhani nitakuta tofauti, hio yote mpaka sasa sijaona
Moyo waniuma nikikumbuka
Mambo mengi we ulinikosea
Najiuliza je ni kweli umebadilika, na maumivu mi nayarudia
Masikini nashindwa amua, ooh nashindwa aah
Najiuliza je ni kweli umebadilika, na maumivu mi nayarudia
Masikini nashindwa amua, ooh nashindwa aah
(Rosella) Mi najiuliza, Rosella (Je umebadilika)
Rosella (Nashindwa kuamua aah)
Rosella (Mi najiuliza), Rosella (Je umebadilika)
Rosella (Nashindwa kuamua aah)
(Rosella) Mi najiuliza, Rosella (Je umebadilika)
Rosella (Nashindwa kuamua aah)
Rosella (Mi najiuliza), Rosella (Je umebadilika)
Rosella (Nashindwa kuamua aah)
Written by: Judith Wambura Mbibo, Kenneth Muya, Mordecai"Dex"Mwini, Wachira Gatama
instagramSharePathic_arrow_out