Similar Songs
Credits
COMPOSITION & LYRICS
Mark Mbari Gathariki
Songwriter
Catherine Waithera Chege
Songwriter
Samuel Warui Mwangi
Songwriter
Lena Adhiambo Odhiambo
Songwriter
Faith Chepkorir Langat
Songwriter
Mellina Cherotich Misoi
Songwriter
Mordecai Mwini
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
So Fresh
Producer
Lyrics
Hawata hawata hawataweza
Hawata hawataweza kukupenda
Hawata hawata hawatawezaaa
Mbona, Do you have to be this way?
Unajitoa, From all the promises you made
You wanna, Blow up all the loving that we gave
Listening into "He said and that she said"
Uongo za mjini zimenogaaa
Niamini, nakupenda, Ni wewe tu
Wakusema watasema, usiku watalala
Hawataweza kukupenda, vile ninavyokupenda
Amini hata dunia, itashindwa na cha kusema
Na Wakusema ni mapema
Kupenda Tunavyopendana
Tutaishi kama Romeo na Julia kwa cinema
Baby achana nao uh
Noooh uh oooh uh oooh uh
Usiwaskize hao, nooo uh
Nooo uh ooh uh oooh uh
Baby achana nao uh
Nooo uh oooh uh oooh uh
Usiwaskize hao noo uh
Noo uh ooh uh
The city is full of haters, full of players
Wakutupiga sana oh they wanna breake us
Usiwaskize hao, oh baby achana nao
Coz when we say ni forever
Ni vow tunaweka
Mimi na wewe tu
Let us go down in this story
(Yeeh eeiyyy)
Niamini, nakupenda, Ni wewe tu
Wakusema watasema, usiku watalala
Hawataweza kukupenda, vile ninavyokupenda
Amini hata dunia itashindwa na cha kusema
Na Wakisema ni mapema
Kupenda Tunavyopendana
Tutaishi kama Romeo na Julia kwa cinema
Baby achana nao uh
Nooo uh oooh uh oooh uh
Usiwaskize hao noo uh
Baby achana nao uh
Nooo uh oooh uh oooh uh
Usiwaskize hao noo uh ooh uh
Baby achana nao
City Boys, they wanna break your heart
City girls, they just wanna have fun
Love you then leave you
Wakuwache na maswali bila jibu
City Boys, they wanna break your heart
City girls, they just wanna have fun
Love you then leave you
Wakuwache na maswali bila jibu (yeah eeh)
City Boys, they wanna break your heart
City girls, they just wanna have fun
Love you then leave you
Wakuwache na maswali bila jibu
City Boys, they wanna break your heart
City girls, they just wanna have fun
Love you then leave you
Wakuwache na maswali bila jibu
Writer(s): Catherine Chege, Mordecai Kimeu, Mellina Misoi, Faith Langat, Mark Gathariki, Samuel Warui, Lena Odhiambo, David Ochieng
Lyrics powered by www.musixmatch.com