Music Video

H_ART THE BAND - UKIMWONA (OFFICIAL VIDEO) TO SET AS SKIZA *811*380#
Watch H_ART THE BAND - UKIMWONA (OFFICIAL VIDEO) TO SET AS SKIZA *811*380# on YouTube

Featured In

Lyrics

Kusema kweli bado nakuhata, and on the daily bado nakufuata
Kosa sio hoja, zaidi ya kukupenda, vipi nikatupa ndoto tulizoziota
Uliniwasha nare, enzi zetu za kupare
Kwa mvinyo na makali, magizani hadi ngware
Nikijifanya dakitare, wa mabinti wale
Wenye shepu za hatari, nikapotelea ndani
Ila mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Ukimwona
Tabasamu la kishua, roho sawa na maua
I can't help miss you every morning, vile unapendeza
Kama ningewezajua yepi ya kutarajia, nisingejipata mashakani kwa niliyoyatenda
Ninayempenda ni wewe, hakuna mwingine wa kubadili penzi
Ningependa tuelewane, kiburi kisinikosanishe nawe
Uliniwasha bare, na sikushika nare
Ukanisema kwa jirani, kwamba mimi kisirani
Aibu za hadharani, vile penzi hatari
Njoo unipe amani, kama hapo zamani
Mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Ukimwona
Mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Mwambie nampenda, roho yamtamani
Bado nampenda, ukimwona
Written by: Kenneth Muya, Mordecai "Dex" Mwini, Wachira Gatama
instagramSharePathic_arrow_out