Music Video

Sauti Sol - Nenda Lote (Official Audio) SMS [Skiza 9935647] to 811
Watch Sauti Sol - Nenda Lote (Official Audio) SMS [Skiza 9935647] to 811 on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Sauti Sol
Sauti Sol
Performer
Bien-aime Baraza
Bien-aime Baraza
Vocals
Willis Chimano
Willis Chimano
Vocals
Savara Mudigi
Savara Mudigi
Vocals
Polycarp Otieno
Polycarp Otieno
Guitar
Chuchu
Chuchu
Additional Vocals
Wendy Kemunto
Wendy Kemunto
Additional Vocals
STACY KAMATU
STACY KAMATU
Additional Vocals
Lisa Oduor
Lisa Oduor
Additional Vocals
Xenia Manaseh
Xenia Manaseh
Additional Vocals
Ivan Kwizera
Ivan Kwizera
Bass Guitar
Amani Baya
Amani Baya
Drums
Idd Aziz
Idd Aziz
Percussion
Joe Mutoria
Joe Mutoria
Keyboards
Lisa Oduor-Noah
Lisa Oduor-Noah
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Bien-aime Baraza
Bien-aime Baraza
Composer
Willis Chimano
Willis Chimano
Composer
Savara Mudigi
Savara Mudigi
Composer
Polycarp Otieno
Polycarp Otieno
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Sauti Sol
Sauti Sol
Producer
M.Boks
M.Boks
Producer

Lyrics

Umetuma wazazi wako waje wanielezee, umetuma wazazi wako waje wanielezee, hunitaki tena
Na mashoga zako waje waniambie, na mashoga wako waje waniambie ndoa tumeshavunja ndoa
Siamini kuna time singeishi bila wewe
Mapenzi ya kukata na shoka
Yashamwagika hayazoleki haya
Basi nenda lote mama, nenda lote mama
Mpenzi unaenda, nilikuenzi kinomanoma
Yashamwagika hayazoleki haya
Nenda lote mama
Ukatuma lawyer wako aje anisomee, ukatuma lawyer wako aje anisomee
Kua watoto ulonizalia eeh, kua watoto ulonizalia eeh, sitawaona tena
Siamini kuna time tuliapa hadharani
Kanisani kwa chanda na pete
Yashamwagika hayazoleki haya
Nenda lote mama, nenda lote mama
Mpenzi unaenda, nilikuenzi kinomanoma
Yashamwagika hayazoleki haya
Nenda lote mama
Ukatuma pastor wako aje anikemee
Ukatuma pastor wako aje anikemee mama
Na madeni zangu ukazitangaza eeh, na madeni zangu ukazitangaza eeh
Mitandaoni
Shemeji zangu ndugu zako tukionana, wambie sisi bado rafiki
Wasinipite barabarani mama
Umeenda lote mama, umeenda lote mama
Mpenzi unaenda, nilikuenzi kinomanoma
Yashamwagika hayazoleki haya
Basi nenda lote mamaa, nenda lote mama
Mpenzi unaenda, nilikuenzi kinomanoma
Yashamwagika hayazoleki haya
Nenda lote mama, maama, maama, nenda lote mama
Written by: Bien-aime Baraza, Polycarp Otieno, Savara Mudigi, Willis Chimano
instagramSharePathic_arrow_out