Top Songs By Okello Max
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Okello Max
Performer
Polycarp Otieno
Electric Guitar
Benjamin Kabaseke
Electric Guitar
COMPOSITION & LYRICS
julius mcrymboh
Songwriter
Bienaime Baraza Alusa
Songwriter
Benson Mutua
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
So Fresh
Producer
Trevor Magak
Mixing Engineer
Lyrics
[Verse 1]
Naskia kelele, kwa jirani
Kwani ni vita
Ama hii ni raha gani
Mwengine anasema aah
Mwengine anasema uuh
Kwani mapenzi imegeuzwa kuwa Kungfu
Na vile kwangu kunabore
Naskiza mafranco
Hii ploti itanifanya niwe whore
[PreChorus]
Action night
Watoto walale by nine
Nikudunge vaccine
Leo movie ni ya Shaolin
[Verse 2]
Vita vya kikungfu, Kungfu
Dj Afro kuja utangaze drama
Vita vya kichinku, chinku
Kabla mechi ianze mgongo ntakukanda
Tumefungana pingu, pingu
Moja kwa mguu nyingine kwa kitanda
Okello mano Kungfu, Kungfu
Bien Aime na Kungfu, Kungfu
[Verse 3]
Woi-woi mama
Woi-woi mama
Unazunguka kama nyoka, Anaconda
Woi-woi mama
Woi-woi mama
Unateleza kama mrenda, haki nimependa
Kiss it better vile napenda
Mix ya broiler na kienyeji, vibes
Hebu geuza, oh Cheriè samaki hailiwi pande moja
Action time
[PreChorus]
Action night
Ufike kwangu by nine
Nimetema taxin
Amenyoa Shaolin
[Chorus]
Vita vya kikungfu, Kungfu
Dj Afro kuja utangaze drama
Vita vya kichinku, chinku
Kabla mechi ianze mgongo ntakukanda
Tumefungana pingu, pingu
Moja kwa mguu nyingine kwa kitanda
Okello mano kungfu, Kungfu
Asudah mano kungfu, Kungfu
[Verse 4]
Cheriè nipeleke Thailand
Na mimi nikupeleke Bangkok, yeah
Tuishi juu ya Island
Tuishi maisha ya kibailando, yeah
Kuja tufanye mambo-mambo
Nikukunje nikufunze angle, angle
Movie na soundtrack ya bango-bango
Action unapewa ni ya Rambo
[PreChorus]
Action night
Ufike kwangu by nine
Nimetema taxin
Amenyoa Shaolin
[Chorus]
Vita vya kikungfu, Kungfu
Dj Afro kuja utangaze drama
Vita vya kichinku, chinku
Kabla mechi ianze mgongo ntakukanda
Tumefungana pingu, pingu
Moja kwa mguu nyingine kwa kitanda
[Outro]
Asudah mano kungfu, Kungfu
Bien Aime na kungfu, Kungfu
Okello mano kungfu, Kungfu
Written by: Benson Mutua, Bienaime Baraza Alusa, julius mcrymboh