Top Songs By Bensoul
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Bensoul
Performer
Bien
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bensoul
Songwriter
Hendrick Sam
Composer
So Fresh
Composer
Bien-aime Baraza
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Hendrick Sam
Producer
So Fresh
Producer
Lyrics
Navutishwa, oh, navutishwa
Moshi pia napuliziwa
Navutishwa, oh, navutishwa
Naishi kama paka, nalishwa
Navutishwa, oh, navutishwa
Haya mapenzi sijalipishwa
Navutishwa, oh, navutishwa mama
Navutishwa, oh, navutishwa mama
Msosi delivery, pombe chemikali
Mapenzi halali
Nilikuwanga silali hapo awali, Kanairo hakuna amani
Her coochie on fire, can't deny
Miguu zake hunizunguka kama tire
Akibend over ni game over
Ona nasosi mpaka naitisha saucer
Nakulishwa, eh (Matamu ya roho)
Naogeshwa, eh (Oh, mamou)
Ngotha mbichi navalishwa, eh
Kidogo tu ninyonyeshwe, eh
Dredi zangu zisokotwe
Shingo nimassagiwe
Nasanifiwa, narolliwa, kisha navutishwa
Navutishwa, oh, navutishwa
Moshi pia napuliziwa
Navutishwa, oh, navutishwa
Naishi kama paka, nalishwa
Navutishwa, oh, navutishwa
Haya mapenzi sijalipishwa
Navutishwa, oh, navutishwa mama
Navutishwa, oh, navutishwa mama
Kuamka kung'ara na kukaa tu
Kula mahaba ya kistaarabu
Natabasamu bila sababu
Kitandani nafunzwa adabu
Kukaa kukaliwa, kulala kulaliana na kulaliwa
Maisha ya ghorofa, nikitoka kitandani, naruka kwa sofa
Wi-Fi imelipiwa, eh, nadekezwa, eh
Upara napapaswa, eh
Nabembelezwa, eh
Natulizwa, eh
Uso nakaliwa, eh
Nasanifiwa, narolliwa kisha navutishwa, mama
Navutishwa, oh, navutishwa
Moshi pia napuliziwa
Navutishwa, oh, navutishwa
Naishi kama paka, nalishwa
Navutishwa, oh, navutishwa
Haya mapenzi sijalipishwa
Navutishwa, oh, navutishwa mama
Navutishwa, oh, navutishwa mama
Written by: Bensoul, Bien-aime Baraza, Hendrick Sam, So Fresh