Top Songs By Lady Jaydee
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Lady Jaydee
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Judith Wambura Mbibo
Composer
Lyrics
[Verse 1]
Yote mlosema, mlotenda nasahau
Nasonga mbele mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
Mmh mliosema, aaah
Nasonga mbele mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
[Chorus]
Yote mlosema, mlotenda nasahau
Nasonga mbele mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
Mmh mliosema aah
Nasonga mbele mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
[Verse 2]
Ninadhani hamjali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
Haata nisiowategemea leo hii mmenigeuka
Haata nilio waheshimu leo hii mnanihukumu
[Verse 3]
Kila mtu ana dhambi
Msijihesabie haki
Kusemwa sеmwa sitaki
Hakuna alie msafi
[Chorus]
Yote mlosema, mlotеnda nasahau
Nasonga mbele mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
Mmh mliosema ahh
Nasonga mbele mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
[Chorus]
Yote mlosema, mlotenda nasahau
Nasonga mbele Mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
Mmh mliosema aah
Nasonga mbele mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
[Verse 4]
Sijali maneno yenu kwani kuna hata magazeti
Sijali visa vyenu havifanani vya ukweli
Ni potofu fikra zenu msokaa kufanya yenu
Kunijua sana undani siwaapi tena nafasi
[Verse 5]
Ooh siku hazigandi
Hata mseme mangapi
Kila mtu ana dhambi
Hakuna alie msafi
[Verse 6]
Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
Hata nisiowategemea leo hii mmenigeuka
Hata nilio waheshimu leo hii mnanihukumu
[Chorus]
Yote mlosema, mlotenda nasahau
Nasonga mbele mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
Mmh mliosema aah
Nasonga mbele mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
[Chorus]
Yote mlosema, mlotenda nasahau
Nasonga mbele mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
Mmh mliosema aah
Nasonga mbele mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
Written by: Judith Wambura Mbibo