Featured In
Top Songs By Rayvanny
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Vocals
Rayvanny
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Raymond Shaban Mwakyusa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
Lyrics
Weka shida chini glass juu, tujipongeze
Usijali wanafki wambea, chapa mziki wote tucheze
Ah, maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eeti!)
Hiyo shingapi, hii shingapi, hauna hela nini (Eeti!)
Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eeti!)
Ile shingapi, hili shingapi, hauna hela nini
Nimeachwa staki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo liko wazi sema nitakubali
Ati unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Oh-za Unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze)
(E bwana wee!) Hela ya koodi nainywea pombe
Baba mwenye nyumba akileta fyoko natia makonde
Na kama hayanogi mapenzi usikonde
Akiringa akwende, chukua mwingine, sio kinyonge
Yu kwapii? Enh yu kwapii huyo? (Basi nitongoze)
Yu kwapii? Yu kwapii huyo? (Basi nitongoze)
Yu kwapii? Yu kwapii huyo? (Basi nitongoze)
Yu kwapii? Yu kwapii huyo? (Basi nitongoze)
Nimeachwa staki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo liko wazi sema nitakubali
Unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka? Eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Onyesha boxer ash tuone boxer aosh
Nyanyua shati ingia kati tuone boxer
Onyesha boxer ash tuone boxer aosh
Nyanyua shati ingia kati tuone boxer
Written by: Naseeb Abdul Juma, Raymond Shaban Mwakyusa, Salmin Kasimu Maengo