Music Video

Rayvanny feat Yammi - Usingizi (Official Visualizer)
Watch Rayvanny feat Yammi - Usingizi (Official Visualizer) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Raymond Shaban Mwakyusa
Raymond Shaban Mwakyusa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Beat Killer
Beat Killer
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Nikuite mahabuba
Honey we ingia furaha
Sweat chocolate my sugar
One in a billion
[PreChorus]
Usingizi mtamu
Nkilala na wee
Chakula hakipiti
Nsipokula na we
[Chorus]
Nimependa ninapopenda
Uniache na ile zangu raha
Mapenzi yana weneyewe
Na wenyewe ni mimi na wewe
[Chorus]
I love you (I love you more)
Kwako sijiwezi (Mi utanitoa roho)
Nimependaa ninapopendwa
Mniache na ile zangu raha
[Chorus]
I love you (I love you more)
Kwako sijiwezi (Mi utanitoa roho)
Nimependaa ninapopendwa
Mniache na ile zangu raha
[Verse 2]
Baby kwenye upepo baharini
Utilie na mimi
Upendo unavyouthamini
Nisikupende kwa nini
[Verse 3]
Nahisi uliumbwa wewe uwe na mimi
Mi sikuachi niamini
Penzi ni siri yetu uwe na mimi
Sitaki mwingine wa nini
[PreChorus]
Ntalalama nini
Mi napendwa mimi
Mi natunzwa mimi
Mungu anipee nini
[PreChorus]
Usingizi mtamu
Nkilala na wee
Chakula hakipiti
Nsipokula na we
[PreChorus]
Nimependa ninapopendwa
Uniache na ile zangu raha
Mapenzi yana weneyewe
Na wenyewe ni mimi na wewe
[Chorus]
I love you (I love you more)
Kwako sijiwezi (Mi utanitoa roho)
Nimependaa ninapopendwa
Mniache na ile zangu raha
Written by: Raymond Shaban Mwakyusa
instagramSharePathic_arrow_out