Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Raymond Shaban Mwakyusa
Raymond Shaban Mwakyusa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Beat Killer
Beat Killer
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Nimeona kila kitu
Nimekuta message ana missed call
Alikubipu
[Verse 2]
Sala, sala
Nilienda jana usiku
Eti kapenda show we msafi
Nilisafisha msitu
[Verse 3]
Yaani kila siku tuko wote
Kumbe unanizungukaa
Pamoja na mahaba yote
Kumbe waficha makucha
[Verse 4]
Message nyingi sana nimeshazikuta
Zingine sijazisoma ningekufa
Nilipoona picha za mafuta
Nikakusaidia kuzifuta
[Verse 5]
Kuna Ben daktari
Ati doto dalali
Ila achana na yule mme wa mtu
Utamwagiwa tindi kali
[Refrain]
Natamani kukuacha
Uende
Ila moyo unataka
Nikupendee
[Refrain]
Najilaumu kila siku
Mi mzembee
Ila moyo unataka
Uyajenge mapenzi
[Verse 6]
Natamani mapenzi yadumu
Ila mwenzangu awe kasuku
Sipendi kukulaumu
Ila napitia wakati mgumu
[Verse 7]
Kila weekend ups Kisumu
Unadanganya ni majukumu
Kumbe upo kwa room
Unampa Itami anakuchum
[Chorus]
Why are you cheating on me
Cheating on me
Stop cheating on me
Cheating on me
[Chorus]
Why are you cheating on me
Cheating on me
Stop cheating on me
Cheating on me
[Verse 8]
Simu nzito
Nimeona message ya Davido
Kumbe Mbezi mwisho
Kuna mtu anaitwa Filipo
[Verse 9]
Kipindi mimi sipo
Alikuwa anakuhonga mishiko
Na hapo ulipo
Ameshakupa na uja uzito
[Verse 10]
Yanasifiwa mapenzi
Nimechukia mapenzi
Kumwamini mpenzi
Siwezi tena
[Verse 11]
Chunga mafriend wa mpenzi
Visafari weekendi
Wakiona wenye mapenzi
Ndo basi tena
[Verse 12]
Akipenda senti
Ata kujitikisa mechi
Bado wakipenda mechi
Bila senti utapigwa bench
[Refrain]
Natamani kukuacha
Uende
Ila moyo unataka
Nikupendee
[Refrain]
Najilaumu kila siku
Mi mzembee
Ila moyo unataka
Uyajenge mapenzi
[Chorus]
Why are you cheating on me
Cheating on me
Stop cheating on me
Cheating on me
[Chorus]
Why are you cheating on me
Cheating on me
Stop cheating on me
Cheating on me
Written by: Raymond Shaban Mwakyusa
instagramSharePathic_arrow_out